Recent content by Kilangila

  1. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mchango wa Rais Samia katika Kuendeleza Utalii kupitia Filamu kwa Maendeleo ya Uchumi wa Tanzania katika miaka 25 ijayo

    Kwa heshima na taadhima kwa mheshimiwa Raia No. 1 wa mama Tanzania, napenda kusena yafuatayo: 1. Ikiwa mama ana nia hiyo, basi ni vema aunde tume au kamati ifanye kazi kujua yale makampuni ya uzalishaji na usambazaji yaliyo kuwepo miaka hadi mwaka 2013 yalipotelea wapi? Namaanisha makampuni kama...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hatuhoji mamlaka za uteuzi lakini tuambiwe Kalemani alikosea nini pale Nishati?

    Aliyewekwa sasa yumo kwenye mtandao wa aliyeshika "remote" ya kumwendesha mama kwa faida yake. Kumbuka ni mtandao wa mtu huyo huyo uliopiga "Richmond, IPTL, Dowans" n.k. Muda utaongea. Madili yatakayopigwa siku zijazo ni ya kufa mtu. Watz tutakoma. Kilangila.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa Mbowe kisiasa ni worst ever seen in Tanzania

    Duh! Kilangila.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa Mbowe kisiasa ni worst ever seen in Tanzania

    Point au pumba? Kilangila.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wenye daladala, bodaboda na migahawa walia baada ya machinga kuondolewa Kariakoo

    Walipouawa wayahudi hatukusema, tulimnyamaza; wakauawa wazungu wenye nywele nyeusi tulinyamaza, leo wanauwa wakatoliki hakuna wakutusemea. Alisikika akisema Padre mmoja nchini Ujerumani wakati wa utawala wa Hitler. Kilangila,
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wenye daladala, bodaboda na migahawa walia baada ya machinga kuondolewa Kariakoo

    Uchaguzi gani? Labda uchafuzi! Kilangila.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Maendeleo hayana Chama, hii hapa ni shule ya msingi Mwanavala iliyoko Mbarali

    Vyama vyote vya upinzani havisimamii mamlaka zinazokusanya kodi. Kilangila.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Igunga: Mwenyekiti UDP ‘aunga mkono juhudi’ na kuhamia CCM

    Manunuzi ya nini wakati UDP ni tawi la CCM? Hakuna jipya hapo na wala haishangazi. Kilangila.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Maendeleo hayana Chama, hii hapa ni shule ya msingi Mwanavala iliyoko Mbarali

    Za Bi. Mkola alizopewa na Msog..? Kilangila.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Maendeleo hayana Chama, hii hapa ni shule ya msingi Mwanavala iliyoko Mbarali

    Wananchi wanaolipa kodi lukuki, waliopandishiwa bei za mbolea na kuongezewa tozo kwenye miamala? Kilangila.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Maendeleo hayana Chama, hii hapa ni shule ya msingi Mwanavala iliyoko Mbarali

    Vinakusanya kodi? CCM kama chama iliwahi kujenga shule yoyote? Kilangila.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kiufupi Polisi wako biased sana kwa CHADEMA. Hatua waliyofikia si nzuri

    Kiitikio: Si -mbali karibu tutapata katiba Mpya, si mbali karibu tutapata katiba mpyaaaa. Ubeti 1: Wapinzani wana-teseka, wakidai katiba mpya; kwa faida ya watu wote, hata-wa-chama tawala.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kathrin Steinbrenner, Naibu Balozi wa Ujerumani kamwambia Mbowe ‘Never Give Up’

    Kwa upolisi huu wa kurithishana, kupata wenye akili ni bahati nasibu. Kilangila.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kathrin Steinbrenner, Naibu Balozi wa Ujerumani kamwambia Mbowe ‘Never Give Up’

    Mkuu "Behaviourist" with due respect, kuvunjana mbavu asubuhi asubuhi siyo vizuri! Kilangila.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan amkumbuka Ridhiwani Kikwete baada ya kusahaulika kwa kipindi kirefu

    Speed ya kutalii ughaibuni? Kilangila.
Back
Top Bottom