Recent content by kilamunyere

  1. K

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    mm nimteja wamkopo wa wafanyakazi! dada anayehudumia tawi lenu la pamba branch -mwanza yuko slow sana pia hapokei simu zawateja wala kujibu sms mteja anapokuwa anahitaji ufafanuzi juu mkopo wake umefikia hatua gani?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kabla hatujamhukumu Halima Mdee na wenzake, kuna yeyote kati yenu atagoma ikiwa atateuliwa na Rais kwenye nafasi zake?

    siku itokee mwanasiasa amepigwa napolisi mniombe michango, hawa wanasiasa hawaaminiki kabisa!
  3. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    niandike jina namba ya simu? Humu tunatumia majina ya siri, kufanya hivyo ntajulikana.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaume wenzangu mnawaelewa wanawake kweli? Soma kisa hiki

    hahaha
  5. K

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kero yangu kubwa ni pale ninapoomba mkopo nimetiza vigezo kuanzia kwa mwajiri mpaka benki, mwishoni mkopo utoke mnasema umekosea sahihi Ilhali mimi tangu nimefungua akaunti ni zaidi ya miaka 20, nitakumbuka kweli nilisaini vp, mnaboa sana na isitoshe mshahara unapitia kwenu!
  6. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kwanini sisi wateja wa REA tunabaguliwa hususani katika kuunganishiwa umeme, mfano mimi mkazi wa kata ya Lwanhima-- Mwanza nimelipia kuunganishiwa umeme tangu mwezi wa 8 ila mpaka leo ni mwezi wakumi na moja sijaunganishiwa, nikifatilia naambiwa vifaa hamna!
Back
Top Bottom