Kabla hatujamhukumu Halima Mdee na wenzake, kuna yeyote kati yenu atagoma ikiwa atateuliwa na Rais kwenye nafasi zake?

Yes imetusaidia sana.
Umeghafilika eh?

Mlimfukuza ZZK kwa kile mlichoita usaliti, leo hii mnamhitaji kila siku kwenye maridhiano.

Mliwakaribisha mamluki Kina Sumaye na Masha hadi jikoni, kuna nini wasichokijua?

Kama ni usaliti, nyie ndo mmetusaliti pakubwa wananchi tuliowahi kuwaamini.
 
If wishes were horses!

Labda unajua kabisa hakuna namna uteuzi ukakuhusu.

Kivipi havina uhusiano, manake kwanza bora kina Halima bado wanatumikia chama.... ukiteuliwa unabatizwa kabisa.
Dogo umening'iniza poumbou sofani kwa shemeji yako huku ukiposti uharo.

Inuka ukamfungulie geti shemeji yako anapiga honi

Kamoooonn
 
Hao ni wanafiki mbona uchaguzi wa 2015 walisema hatutambui matokeo ya raisi kwa kuwa uchaguzi haukuwa huru na haki lakini wao walienda kuapishwa? Leo wamekomaa kwa sababu hawajapita wao? Wasituchanganye bwana. Ina maana wao kipindi kile hawakuwa wasaliti? Mbona waliapishwa?
 
Mataga kaeni mkijua hao wapuuzi kesho tunawatimua na hatuko tayari kushirikiana na serikali fedhuli ya CCM.
Hv utaanzaje kutimua nyumba ndogo yako kwenye chama chako?jeuri hiyo kwa mwanaume yupi aliye nayo?utaanzaje kumtimua mfia chama tangu mwanzo ktk chama chako?hv itakuwa nimesahau juzi tu watu haohao walivunjwa mikono kwaajili yangu?aisee Roho hiyo sina
 
CCM hawana akili hata kidogo walitumia nguvu kubwa kwenye unyang'anyi wa kura wakasahu kuna hela za mebeberu ambazo zinaifanya ccm ipumue wanawaponda mebeberu huku hela zao wanazitaka bila kambi ya upinzani hela za mebeberu hazipo pumzi ya ccm ipo kwa mabeberu mnataka nchi ya kijani wakati mfukoni yaani uchumi upo hoi mtafoji kila kitu safari hii na hii laana itaendelea kutafuna chama cha kijani.

Wenyewe ccm mmerudi tena chadema
Ndugu umekula maharage ya wapi,nipesa zipi zinazo ifanya ccm ipumue,Kama hujui Jambo embu nyamaza ,CDM ndiyo inapumulia pesa za mabeberu na jamaa yenu kule anahaha atazirudishaje maana aliwaahidi mabeberu vitu vingi ikiwemo kuoana nyiekwanyie akiwaaminisha kuwa atapata uongozi
 
Rejea tena kichwa cha mada hapo juu.

Muda unakimbia kwa kasi na mengi yanatokea na kupita, kumbukumbu huwa zinabaki.

Huenda sina kumbukumbu za kutosha, lakini kwa kadri ya 'hansadi' zangu sikumbuki mtu aliyewahi kuteuliwa kwenye ulaji na akagoma ili kulinda kile kinachoitwa msimamo wa chama.

Kama yupo/wapo basi tukumbushane, na pia tuhusianishe sababu zao kugomea uteuzi na mazingira halisi ya nyakati zao.

Ninaowakumbuka mimi ni wale waliokuwa mstari wa mbele, lakini ghafla wamekuwa watiifu na wachapakazi kweli kweli.

Mifano ipo mingi, sina haja kuitaja hapa labda ikihitajika.

Sasa basi, mara paap Rais JPM akaamua kuwajumuisha kwenye serikali yake hawa watu ambao leo wanaonekana mwiba na mahiri kuwashambulia wabunge walioapishwa.

Ni nani atagoma?

Hakuna asiyeijua njaa ilivyo kali huku nchi kavu, nguvu ya mamba ni maji. Sio Halima pekee mwenye njaa au hicho kinachoitwa tamaa, pengine tunawaonea wivu kwamba ni ganda la ndizi.

Yule mtu angeweza kususia uteuzi na awe wa kwanza kuwanyooshea kidole hawa wabunge.

Ncha kali.
Lissu mbona aligoma alipoahidiwa?
 
Hv utaanzaje kutimua nyumba ndogo yako kwenye chama chako?jeuri hiyo kwa mwanaume yupi aliye nayo?utaanzaje kumtimua mfia chama tangu mwanzo ktk chama chako?hv itakuwa nimesahau juzi tu watu haohao walivunjwa mikono kwaajili yangu?aisee Roho hiyo sina
kaa kwa tulia utaona mwenyewe.
 
CCM hawana akili hata kidogo walitumia nguvu kubwa kwenye unyang'anyi wa kura wakasahu kuna hela za mebeberu ambazo zinaifanya ccm ipumue wanawaponda mebeberu huku hela zao wanazitaka bila kambi ya upinzani hela za mebeberu hazipo pumzi ya ccm ipo kwa mabeberu mnataka nchi ya kijani wakati mfukoni yaani uchumi upo hoi mtafoji kila kitu safari hii na hii laana itaendelea kutafuna chama cha kijani.

Wenyewe ccm mmerudi tena chadema
Tena walichofanya ni kuvunja terms zilizopo kwenye mikataba yote kwani wote wanatoa kwa masharti ya kukuza demokrasia, utawala bora na haki za binadamu.
 
Rejea tena kichwa cha mada hapo juu.

Muda unakimbia kwa kasi na mengi yanatokea na kupita, kumbukumbu huwa zinabaki.

Huenda sina kumbukumbu za kutosha, lakini kwa kadri ya 'hansadi' zangu sikumbuki mtu aliyewahi kuteuliwa kwenye ulaji na akagoma ili kulinda kile kinachoitwa msimamo wa chama.

Kama yupo/wapo basi tukumbushane, na pia tuhusianishe sababu zao kugomea uteuzi na mazingira halisi ya nyakati zao.

Ninaowakumbuka mimi ni wale waliokuwa mstari wa mbele, lakini ghafla wamekuwa watiifu na wachapakazi kweli kweli.

Mifano ipo mingi, sina haja kuitaja hapa labda ikihitajika.

Sasa basi, mara paap Rais JPM akaamua kuwajumuisha kwenye serikali yake hawa watu ambao leo wanaonekana mwiba na mahiri kuwashambulia wabunge walioapishwa.

Ni nani atagoma?

Hakuna asiyeijua njaa ilivyo kali huku nchi kavu, nguvu ya mamba ni maji. Sio Halima pekee mwenye njaa au hicho kinachoitwa tamaa, pengine tunawaonea wivu kwamba ni ganda la ndizi.

Yule mtu angeweza kususia uteuzi na awe wa kwanza kuwanyooshea kidole hawa wabunge.

Ncha kali.
Kwa hiyo ukiteuliwa kwenda kwa mpalange; we kiroho safi!!!???
 
Back
Top Bottom