Recent content by kilama

  1. kilama

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: DCI Ramadhani Kingai anakuja kunitetea. Sasa itabidi aje anyooshe maelezo. I've fought this war for 30yrs, I know how it goes!

    Hii ni spirit ya kuzaliwa nayo na Mungu amemuumba kwa makusudio maalum kwa kazi maalumu na muda maalum. Namuombea kila lenye Kheri likawe mbele yake.
  2. kilama

    JamiiForums Tanzania Rais wa MAT: Magari matano ya kuyapisha Barabarani.

    Hoja ndiyo hiyo kwamba kitumike kitambulisho.
  3. kilama

    JamiiForums Tanzania Nimeangukia Demu wa Mtaani: Utamu Sijawahi ona!

    Katika kuoa mambo ya msingi ni hayo tu mkuu mengine yana nafasi ndogo sana. Maisha ya mahusiano ya mke na mume huwa yanafika wakati mnajikuta mnaishi kawaida sana. Mtu akishakuwa karibu nawe muda wote/mwingi anapoteza ladha lakini mnavuliana na siku zinasogea. Hakikisha tu upendo wenu uwe balanced.
  4. kilama

    JamiiForums Tanzania Nimeangukia Demu wa Mtaani: Utamu Sijawahi ona!

    Hatuoi kwa sababu mwanamke unampenda, tunaoa kwa kuangalia ufahamu wa upeo wa mwanamke katika kumudu majukumu yake na ya familia/ watoto pamoja na heshima.
  5. kilama

    JamiiForums Tanzania Nimeangukia Demu wa Mtaani: Utamu Sijawahi ona!

    Hongera sana mkuu lakini suala la kuoa ni kazi sana kulichambua kama mwanamke hujawahi kuwa naye kwenye mahusiano. Kwa nini huyo humfikirii kumuoa? Umebaini changamoto gani ambazo zimekupa shaka? Je, ni hofu tu kwa vile ni binti wa kitaa?
  6. kilama

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu bado anazipuuzia English medium schools?

    Lakini bidii binafsi inahitaji ubinafsi kweli, si jambo jepesi sana kuweka umakini katika kujifunza binafsi. Ndio maana kumekuwa hadi na adhabu ili kuweka uthabiti wa kuongea lugha ya kiingereza ya shule kwa wanafunzi.
  7. kilama

    JamiiForums Tanzania Rais wa MAT: Magari matano ya kuyapisha Barabarani.

    Nafikiri iko hivyo, ni kitambulisho tu.
  8. kilama

    JamiiForums Tanzania Rais wa MAT: Magari matano ya kuyapisha Barabarani.

    Mfano hayupo katika mazingira ya kuweka sticker, labda tuseme sticker ipo nyumbani na amepata simu ya dharura ya kazini akiwa mbali na nyumbani, je hapo inakuwaje?
  9. kilama

    JamiiForums Tanzania Kiingereza kweli ni ngumu! Mtangazaji wa Crown FM apata homa akiwa anawahoji wageni waliomshtukiza studio

    Kwa sababu ya kuogopa kuchekwa, kama alivyofanya mtoa mada hapa hadi kufikia hatua ya kuanzishiwa uzi.
  10. kilama

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutanana Amina J. Mohammed Dodoma

    Ilikuwa ni kumbukumbu mkuu ya tukio la 2021.
  11. kilama

    JamiiForums Tanzania Mwili wangu umekuwa na shoti nyingi sana

    https://www.jamiiforums.com/threads/mwili-unakuwa-katika-hali-ya-kupatwa-na-shocks-za-umeme.2440335/?amp=1 Pitia hapo mkuu huenda ukapata chochote. Ushauri zaidi muone daktari mtaalam wa neurology.
  12. kilama

    JamiiForums Tanzania Ni surprise gani uliwahi kufanyiwa na mpenzi wako mpaka leo huwezi kusahau

    Jamaa alifunga ndoa ya aina gani? Kidini au serikalini? Kama ni ya kidini, ni dini gani?
  13. kilama

    JamiiForums Tanzania Akina Mama na akina dada, dudu za wenza wenu zikigoma kusimama msiwadhihaki muwabembeleze

    Mkuu hoja ya chakula haipaswi kuupuzwa lakini pia mazoezi na kulala/kupumzika ni hoja za msingi sana. Hivyo vitu vyote vinakwenda pamoja. Chakula+ mazoezi+kupumzika.
  14. kilama

    JamiiForums Tanzania Akina Mama na akina dada, dudu za wenza wenu zikigoma kusimama msiwadhihaki muwabembeleze

    Hii ni kweli Mtibeli, mtindo wa maisha yetu umekuwa changamoto lakini pia cha kuongeza mwanaume kuwa na mahusiano mengine nje ya mwenza hupunguza hisia za mke/mwenza wake wa ndani.
Back
Top Bottom