Recent content by kilakaaya

  1. K

    Kuna tofauti gani kwenye uwezo wa kufikiri kati ya mwanamme na mwanamke

    Hakuna tofauti ya uwezo wa kufikiri kati ya mwaname mwanamke, ila tofauti inaletwa na mazingira na mtitazamo ya jamii, mazingira wanayokulia na shughuli wanazofanya hawa watu ndo vinabadilisha ufikiri wao na uwezo wao, ila wakipewa mazingira sawa na nafasi sawa uwezo wao upo sawa.
  2. K

    Mpasuko CHADEMA, Nini kifanyike?

    Wewe una lako jambo, mbona unaowataja wamekaa kimya? au unataka kuwagawa wanachama? umeshindwa na kama umetumwa na magamba waambie huku hatutaki umbeya+uongo. ho to hell..
  3. K

    CCM & TLP zang'ara chadema hoi bin tabani Arumeru East

    huyu jamaa anaota, mi ninafuatilia hivz kampeni kila siku na kila mahali, kila chadema wanapo fika wananchi wanafurika kuliko kawaida, mimi mwenyewe nina safiri zaid ya 25km kushuhudia makamanda. sasa wewe umetumia kigezo gani kusema chadema imepoteza mvuto? acha kupayukapayuka hovyo we are...
  4. K

    Nang'atuka rasmi kutoka CCM

    pamoja na pesa
Back
Top Bottom