Recent content by Kikweni yetu

  1. K

    CHADEMA mkoa wa Dar es Salaam, tunaunga mkono msimamo wa Jukwaa la Wahariri Tanzania(TEF)

    Nisahihi sana kuhakikisha vyombo vya habari vinaendelea kuwa huru. Hatupaswi Hata kidongo kuingilia uhuru wa vyombo vya habari. Kufanya hivyo ni kuminya uhuru ambao unaweza kusababisha madhara kwenye jamii.
  2. K

    Henry Kilewo apata upinzani Mwanga ndani ya CHADEMA

    Hawa ndiyo washindani wa kilewo
  3. K

    Henry Kilewo apata upinzani Mwanga ndani ya CHADEMA

    Wakuu, yule kamanda wa CHADEMA aliyekuwa anailea CHADEMA hapa Mwanga tokea 2011 leo hii amepata upinzani rasmi wa kuwania kuteuliwa kugombea kiti hicho cha ubunge. Leo zimerudishwa fomu na makamanda wengine akiwamo Mwanasheria wa Chama hicho Wilaya. Waliyorudisha fomu 1. Mengi Kigombe(...
  4. K

    Maoni ya Henry Kileo Kuhusu Utitiri wa wagombea CCM

    Kosa la Kileo lipo wapi hapo? Au ulikuwa unataka uhojiwe wewe? Tupunguze viherehere kwenye mambo yasiyo tuhusu.
  5. K

    Vijana NCCR - Mageuzi, hatushiriki UKAWA bila kuondosha haya

    Katika vijana hovyo kabisa katika uongozi wa kisiasa ni wewe. Ulishindwaje kuongea na Mkt wako huko ukawa na majibu kamili, sasa sisi hapa tutakusaidiaje kwa mfano unavyotulalamikia. Kama unaona hamuendani siuondoke? Huna ubavu wowote wa kuusemea Ukawa endelea na kelele zako za kitoto na kipuuzi.
  6. K

    NEC yapiga marufuku CHADEMA Kuhamasisha Uandikishaji

    Huyo mkt wa NEC akili zake hazipo sawa sawa kabisa... yaani ujinga wa maccm kuendelea kulumbana na kuwafanya kushindwa kutoa hamasa kwa watu kwenda kujiandikisha ndiyo anataka na Chadema tukae kimya kama litume lake linavyoandika kwa kuvizia? Kweli haya majitu ni majinga na mapumbafu kabisa...
  7. K

    BVR yaingia Mkoa wa Kilimanjaro hususani Mwanga kimya kimya

    Tutashukuru kama ni kweli, ila huku wanaandikishwa majina na karatasi hizo kuondoka nazo kwenda Halmashauri, wanaoandikishwa ni walimu na wafanyazi wengine wa serikali pekee...
  8. K

    BVR yaingia Mkoa wa Kilimanjaro hususani Mwanga kimya kimya

    Wakuu. Nipo hapa Mwanga kunajambo linaloendelea hapa na nijambo la hatari sana, kunauandikishaji kwa wafanyakazi huku wakidai kuwa ni kwaajili ya kitambulisho cha Taifa jambo hili linaenda wiki ya tatu sasa. Wanaoandikishwa ni Walimu pamoja na wafanyakazi wote wa serikali wanapelekewa fomu...
  9. K

    UKAWA isiwe sababu ya kurudisha jimbo la Mwanga CCM

    Ulichokiongea ni ukweli mtu mkuu, kwasasa watu wameamua kunyamaza na kukaakimya wamebaki na sintofahamu juu ya maigizo hayo.
  10. K

    Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

    Maccm na ACT tunajua kwasasa mmeungana kwaajili ya kushambulia makamanda wa ukweli kama Kileo nk. Ukweli ni huu, 2015 mtake msitake mbunge wa pale Mwanga ni Kileo.
  11. K

    Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

    Ni ndoto pekee kwa anayeifahamu mwanga kuota kuwa kileo hawezi kushinda.
  12. K

    Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

    Ukweli mnaujua hamuwezi kushindana na Kileo Pale Mwanga, hakuna wa kumzuia kileo kushinda lile jimbo huwo ndiyo ukweli wenyewe. Mnapiga kelele hapa kamanda yupo kazini.
  13. K

    Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

    Kaa kimya dada wanaume wanapoongea.
  14. K

    UKAWA wagawana majimbo 211

    Huu ni uwongo wa kiwango cha juu, mfano mzuri ni hapo Mwanga wanapotaka NCCR, ni lini NCCR imekuwa Mwanga? Jibu haijawahi kuwamo mwanga. Hizo story za kupika za hawa waandishi wa habari hazina nia njema na umoja huu wa Ukawa hata kidogo. Nccr haipo mwanga wala haijawahi kuwapo mwanga na Mwanga...
  15. K

    Mkurugenzi wa Wilaya ya Mwanga afukuzwa kwa mawe

    Nilipata hii habari jana toka kwa mwenyekiti habari ya dampo kuwekwa eneo husika inahitaji kwanza pamoja na mambo mengine, eneo hilo lifanyiwe environmental impact assessment na pili wananchi washirikishe na kuthibitishiwa usalama wao na mifugo, lakini pia kujuwa uelekeo wa upepo eneo husika na...
Back
Top Bottom