Maoni ya Henry Kileo Kuhusu Utitiri wa wagombea CCM

Maoni ya Henry Kileo Kuhusu Utitiri wa wagombea CCM

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Maoni yangu kwenye Media juu ya utitiri wa watia nia ndani ya ccm, kuwa Demokrasia au nikuishusha hadhi Ikulu.
Kinachoendelea kwenye utitiri wa watiania wa Urais CCM IKO sehemu tatu.
1. Failure ya urais KWA maana ya Kikwete hivyo ameufanya urais kuwa rahisi Kwa sababu hao wenzake wakiwemo waliomsaidia kufika hapo wanaona Kama huyu hadi anaingia madarakani alisema hajui chanzo cha umaskini wa Watz kisha alipomaliza term ya kwanza akasema alikuwa anajifunza sasa sisi tunashindwaje kuwa marais.
2. Failure ya CCM kuandaa viongozi Pia kutoheshimu taasisi hiyo.
Kwa chama makini kilipaswa kuwa na mkakati wa kuhakikisha kuna utaratibu wa transitional ya uongozi Kwa maana watu makini wanakuwa wameandaliwa Kwa miaka hiyo 10.
Sasa CCM Kwa sababu ya kuchoka na kuzidiwa mapigo ya upinzani ambao unazidi kujipanga na kuwa imara kuiondoa CCM na kushika dola kuongoza serikali, wameshindwa kabisa kuwa na mpango wa kutafuta mrithi wa Kikwete Kwa hiyo kila mtu anajichukulia fomu hivyo inatuonyesha kabisa kuwa ccm imeschoka na inatakiwa kupumzishwa sasa na nchi kuwa kwenye utawala wa mikono ya mungu mikono ya UKAWA.
3. Wamedharau nafasi ya urais...wanafikia mahali watu ambao waliwafukuza Kwa tuhuma za ufisadi leo wanachukua fomu Kama mbinu ya kutafuta forum ya kujisafisha lakini pia wamefikia mahali wanaruhusu na kuchukua hela za watu wanaojua kabisa hawana Sifa mfano huyo mkulima wa Jana wakijua ni darasa la Saba Huo ni utapeli, Mambo yote haya yanaonesha CCM inapaswa kuondoka Kwa sababu imeshindwa na imechoka. Utitiri wote huu unahalalisha kabisa pasipo mashaka yeyote yale hamna jipya ndani ya chama hicho isipokuwa imefika wakati wa UKAWA Kutupeleka SAFARI YA UHAKIKA...
HENRY KILEWO
CHADEMA 2015 MWANGA
 
Huyu naye kaolewa na house girl eti ni think tank ya ukawa
 
Maoni ya Marytina
1. baadhi ya wagombea wanatafita nafasi za kuteuliwa wabunge ama kuteuliwa kugombea ubunge kilazima kwa kudhan ccm itawapa nafasi za kifuta jasho.
mfano: HK vs BASHE
MWALE MALECELA na Monica Mbega
Ngeleja ambaye wana ccm hawamtaki sengerema
 
Mtia nia

Kwan Nyerere na Mwinyi waliowa wasomi??? hao wasomi akina MAKINDA na tibaijuka wamefanya lipi la maana???

Acha dharau kuna watu kibao hawakupata ruhusa/nafasi ila wanauelewa sana.MSOMI WA HAVARD CHENGA bora mimi mumuwangu aliyesoma MUSLIM UNIVERSITY

wewe ni wale ambao wanampenda mwanamkee kwa kuwaza elimu na unaimiliki.Nenda huko MOSHI ujionee ni hotel ngapi za kitalii zinaendeshwa na wanawake wasio hata na darasa la saba
 
Last edited by a moderator:
Kilewo kitu kingine ni CCM kuwa na demokrasia iliyokomaa ambapo kile kifungu cha katiba (ambacho pia kipo CDM) kinachotoa nafasi kwa mwanachama yeyote kugombea nafasi yeyote ya uongozi kinatekelezwa kwa vitendo.
 
Marekani ikiwa Nchi iliyooendelea na nchi ambayo tunaiga na kujifunza Democrasia kutoka kwao,mpaka sasa wanawatangaza Nia 322.

Mm nadhani hoja si ututiri wa Wawapiga kura .,kila anayegomabinia ana uhuru wa kikatiba wa kufanya hivyo ..hakuna anayenyimwa kugombea Urais walau katimiza matakwa ya kikatiba ..
Hoja ni kupata Raisi Anayefanya .

Kuna Advantage ya watangaza nia kuwa wengi ,huwenda ikasaidia katika Kupata yupi ni sahihi .
 
Marekani ikiwa Nchi iliyooendelea na nchi ambayo tunaiga na kujifunza Democrasia kutoka kwao,mpaka sasa wanawatangaza Nia 322.

Mm nadhani hoja si ututiri wa Wawapiga kura .,kila anayegomabinia ana uhuru wa kikatiba wa kufanya hivyo ..hakuna anayenyimwa kugombea Urais walau katimiza matakwa ya kikatiba ..
Hoja ni kupata Raisi Anayefanya .

Kuna Advantage ya watangaza nia kuwa wengi ,huwenda ikasaidia katika Kupata yupi ni sahihi .
wooote waliopaswa kumsaidia mwenyekiti wamekimbilia kuomba uenyekiti:sad:
 
Sasa mambo yetu ccm yanamhusu nini yeye na liukawa lake?ndo maana kaolewa na mwanamke..
 
Kama CHADEMA hamna cha kujifunza kutoka kwenye "utitiri wa wagombea wa CCM" basi hamsatahili kuwa chama cha siasa.

Hiko cha kwenu ni kikundi cha wachaga wasaka Ruzuku, Demokrasia pana iliyoonyeshwa na chama cha CCM sio ya kubezwa na chama cha siasa kilicho makini.

Je? Katiba ya chama chenu hairuhusu kila mwenye sifa kugombea? Mbona mmekazana kumpitisha BABU tu kila mwaka? Demokrasia i wapi sasa? CCM kwa hili la wagombea ipongezwe na sio kubezwa!!
 
Maoni ya Marytina
1. baadhi ya wagombea wanatafita nafasi za kuteuliwa wabunge ama kuteuliwa kugombea ubunge kilazima kwa kudhan ccm itawapa nafasi za kifuta jasho.
mfano: HK vs BASHE
MWALE MALECELA na Monica Mbega
Ngeleja ambaye wana ccm hawamtaki sengerema

Bonge la pan b
 
ukawa hamna demokrasia urais unacheza kwa slaa lipumba maalim seif akijitokeza mtu akiutaka anapewa kesi ya usaliti

kuhusu kuchocha sioni waliochoka zaid ya ukawa hata slogan aliyo andika kilewo eti safari ya uhakika inaonesha jinsi gani ni mtu wa ku copy edit then paste
 
kileo ni mzima kweli alikuja na nyuzi moja mwanangu akaiona akaanza kuceka kuuliza ameona mjinga ameandika upuuzi
 
CCM ni chama cha kidemokrasia kwa vitendo wakati CHADEMA ni Chama cha Demokrasia ya Mdomoni
 
​Kila siku mnalilia rais apunguziwe mamlaka lakini watu wanapourahisisha urais mnalalamika, mbona hamueleweki?
 
Back
Top Bottom