Mh. Sekta binafsi ni nguzo muhimu katika ujenzi wa uchumi endelevu kwa taifa lolote duniani.
Upi utakuwa msukumo wako kipee juu ya sekta hii; je wafanyakazi sekta binafsi watarajie nini kuhusu maslahi yao ambapo Ni mwaka wa Saba (7) Sasa kima cha chini cha mshahara hakija badilika?
Dharau, kebehi, majivuno na yote yanayo fanana na hayo ni sehemu ya maisha ya Mwanadamu. BINADAMU, MAAJABU YA MAAJABU DUNIANI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna tofauti na yule mnyang'anyi aliye surubiwa pamoja na Masihi wa Bwana msalabani huku akimlaumu Masihi kwanini hafanyi muujiza ilhali akijua kuwa adhabu aliyopewa ni haki yake.
Wewe umechukua hatua gani mbele za MUNGU?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.