Recent content by KIKOJR_TZ

  1. KIKOJR_TZ

    JamiiForums Tanzania Tusipochukua maamuzi magumu Taifa letu la Tanganyika litapotea kabisa

    🤣🤣🤣🤣🤣 Tatizo letu sisi Wanyonge hatuna umoja afu ni Waoga vibaya sana!
  2. KIKOJR_TZ

    JamiiForums Tanzania Sitasahau huyu mzee alivyopinda mdomo kwa kufuga jini

    😅😅😅 Na Dr. Sulle mimi ni moja kati ya watu wanaomkubali sana, Dr. Sulle namkubali sana kwanza kabisa ana akili sana na ni mwalimu mzuri na yuko vizuri sana kwenye kujenga hoja na kujibu maswali. Ko nafikiri nikitaka elimu ya kina kuhusu majini ana kwa ana basi mtu wa kwanza nitakayemtafuta ni...
  3. KIKOJR_TZ

    JamiiForums Tanzania Sitasahau huyu mzee alivyopinda mdomo kwa kufuga jini

    🤣🤣🤣 Elimu sahihi ni muhimu sana kabla hujavamia sekta yoyote ile, itabidi nipate elimu ya kutosha kuhusu majini kabla sijaliita 😅😅😅
  4. KIKOJR_TZ

    JamiiForums Tanzania Sitasahau huyu mzee alivyopinda mdomo kwa kufuga jini

    Hapo pa kula BANZI nimecheka sana 🤣🤣🤣
  5. KIKOJR_TZ

    JamiiForums Tanzania Kwa Mnaotaka Kuninua Magari,Mda Ndio Huu.Shilingi ya Tanzania Yaikalia Kooni Dola.Magri bei chee ,Mafuta bei chee.

    Thamani yake imepanda, lakini imepanda kwa kiwango ambacho kwa Wamarekani kwao bado sio tishio wala kupanda huko kwa thamani ya shilingi ya Tanzania hakujawatetemesha kabisa. LABDA ingekuwa DOLA 1 ya Marekani mnainunua kwa Tsh. 100 hivi au Tsh.50 ningesema kweli fedha yetu imepanda thamani sana...
  6. KIKOJR_TZ

    JamiiForums Tanzania Kwa Mnaotaka Kuninua Magari,Mda Ndio Huu.Shilingi ya Tanzania Yaikalia Kooni Dola.Magri bei chee ,Mafuta bei chee.

    Ila sisi Wabongo buana, ko kutoka Exchange Rate ya Tsh. 2700/USD hadi Tsh. 2400/USD ndiyo tunasema eti shilingi ya Tanzania imeimarika dhidi ya dola ya Marekani, eti shilingi ya Tanzania imeikalia kooni dola ya Marekani, hivi from 2700 to 2400 difference ni ngapi hapo? 😅😅 Kuna nchi tena za...
  7. KIKOJR_TZ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwa inatokea mwanaume kum-admire mwanaume mwengine, na ni kawaida

    Mbona mimi namkubali Arnold Schwarzenegger kiasi kwamba kuna kipindi nikiwa chuo mwaka wa kwanza nilikuwa nafuatilia maisha yake ya miaka ya 70, 80, akiwa Professional Bodybuilder kabla hajazama sana kwenye Uigizaji wa filamu za Kivita, nilikuwa namfahamu toka kitambo toka nikiwa mtoto mdogo...
  8. KIKOJR_TZ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mdada ambaye jimbo lipo wazi mwenye lifestyle kama hii yangu

    Hivi mtu mkimya naye anafaa apate mpenzi mkimya? Haitakuwa shida? Au ndiyo vizuri?
  9. KIKOJR_TZ

    JamiiForums Tanzania Naendelea kuamini kuwa Mungu hasemi uongo. Alisema ukiibariki Israeli, utabarikiwa. Ukiilaani, utalaaniwa. Ushahidi huu hapa

    Vipi Tanzania changamoto za kiuchumi zipo au hazipo? Tanzania mliipinga Israeli?
  10. KIKOJR_TZ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wasichana inakuwaje mnatoa ahadi kuwa unakuja kutoa utelezi halafu dakika ya 90 mnakula kona?

    Sana aisee, yani mnaojiboost hakikisheni mbaka demu kaja geto kabisa ndiyo ujiboost.
  11. KIKOJR_TZ

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo ndugu zangu Watanzania[mnajijua] mmeshabadilisha mawazo hayati hakufa kwa COVID-19? Si mlisema gonjwa limemuumbua ‘dikteta’?

    Mko wengiwengi nadhani usiomkubali Polepole lakini idadi yenu ni ndogo ukilinganisha na wanaomkubali Polepole.
  12. KIKOJR_TZ

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo ndugu zangu Watanzania[mnajijua] mmeshabadilisha mawazo hayati hakufa kwa COVID-19? Si mlisema gonjwa limemuumbua ‘dikteta’?

    Dictator yupi unayemzungumzia hapa? Ni dictator yupi huyo aliyekufa kwa Covid-19?
  13. KIKOJR_TZ

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Mimi niko JF hapa nimetoka Tik Tok huko nimezurura weee nimeona nije JF kidogo.
Back
Top Bottom