Recent content by kikoba

  1. K

    Sitaisahau siku ya interview

    :D:D:D:D Duuh umemiua mwishoni mwa story
  2. K

    Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mzee Said Arfi kufukuzwa CHADEMA?.

    Dhambi ya ubaguzi haishii kwa ZZK na wanaowaita wafuasi wake tuu, pia itawarudia Wameru na Wachaga. Baada ya hapo itawafuata Wamachame wa Warombo etc
  3. K

    Nimeipenda hii

    Kosa n kumnyima haki mtu waliyemruhusu agombee kura za maoni na kumpa wamayemtaka wao. Kushinda kwa Kigwangala haihalalishi kukalia haki ya Bashe. Kuna sehemu CCM walipigwa chini kwa kosa kama hilo. Anyway u do the ryt always
  4. K

    Nimeipenda hii

    Unamanisha CCM na CDM n sawa? Kama CCM wakifanya kosa na nyie mnaiga?
  5. K

    Nimeipenda hii

    U can't use someone's mistake as an excuse. Kwann msingemteua tu ijulikane?
  6. K

    Nimeipenda hii

    Sasa huwa mnafanya kura za maoni zann?
  7. K

    Nimeipenda hii

    "Kura za maoni siyo kigezo pekee cha mgombea wa Chadema kusimamishwa kama mgombea" Source Star tv habari from Kalenga. Demokrasia maana yake n nn? Kama mgombea hana vigezo anaingiaje kwenye mchakato wa kupigiwa kura ya maoni? Iweje mshindi wa kura za maoni apigwe chini bt wapili ndo asimamishwe...
  8. K

    Kitu gani kinawafanya viongozi wa CHADEMA wapende kwenda jela kila siku??

    Hawa jamaa wanachekesha kweli! Wanamchafua mzee wa watu
  9. K

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Leo tumeotewa za uso balaaaa!!!!!!!1 Chelsea haooooooo wanatukaribia!
Back
Top Bottom