Recent content by KIKAZI

  1. KIKAZI

    JamiiForums Tanzania Mtu mwingine hawezi kuelewa maumivu unayopitia

    Mungu akubariki sana na uzidi kusonga mbele daima.
  2. KIKAZI

    JamiiForums Tanzania RC Mtaka ataja makabila 5 yanayokuza Uchumi wa Sekta Binafsi Tanzania

    Waha wanaupiga mwingi mdogomdogo ndiyo gari linawaka hivyo.
  3. KIKAZI

    JamiiForums Tanzania RC Mtaka ataja makabila 5 yanayokuza Uchumi wa Sekta Binafsi Tanzania

    Maisha ni kuchagua tu akitaka kusocialize uamuzi ni wake.
  4. KIKAZI

    JamiiForums Tanzania RC Mtaka ataja makabila 5 yanayokuza Uchumi wa Sekta Binafsi Tanzania

    Kabisa umesema vyema.
  5. KIKAZI

    JamiiForums Tanzania Utambulisho

    sijachelewa sana kumbe kumpokea huyu mgeni wetu.
  6. KIKAZI

    JamiiForums Tanzania Nimetamani Kwenda Brazil

    wabongo wana roho mbaya sana sasa ameona amekwisha pata hakaona wengine wa kazi gani basi angekaa kimya akaona na kukaa kimya ameshindwa akapiga na simu kabisa kuwakatili wabongo wenzake wasifanikiwe kwakua yeye tayari amesha fanikiwa hii si roho ya kichawi kabisa huyo jamaa Mshenzi kabisa.
  7. KIKAZI

    JamiiForums Tanzania Nimetamani Kwenda Brazil

    utafanikiwa pambana bila kuchoka.
  8. KIKAZI

    JamiiForums Tanzania Nimetamani Kwenda Brazil

    uraia wao sidhani kama utakua mgumu sana kupata kuna mdau JF hapa alisema ukikaa ndani ya miaka miwili bila kuvunja sheria au kosa lolote la uvunjifu wa sheria unapata makaratasi sijui ni kweli?
  9. KIKAZI

    JamiiForums Tanzania Nimetamani Kwenda Brazil

    ukikomaa ndani ya muda utapata makaratasi yao itakua fursa kwako pia.
  10. KIKAZI

    JamiiForums Tanzania Nimetamani Kwenda Brazil

    ukifika changanya damu fasta na watoto wa kilatino.
  11. KIKAZI

    JamiiForums Tanzania Nimetamani Kwenda Brazil

    Mungu akufanyie wepesi ufanikiwe katika harakati zako.
  12. KIKAZI

    JamiiForums Tanzania Nimetamani Kwenda Brazil

    unyama sana kaka ukipata nafasi nenda maisha popote.
  13. KIKAZI

    JamiiForums Tanzania Nimetamani Kwenda Brazil

    watoto wazuri kuna siku nitafika brazil.
  14. KIKAZI

    JamiiForums Tanzania Nimetamani Kwenda Brazil

    FAVELA zao hizo yani uswazi ya brazil .
  15. KIKAZI

    JamiiForums Tanzania Diaspora Hawatoi connection?

    Hakuna tatizo furahia maisha ndugu kama leo kuna giza jua kesho kutakua na mwanga shukuru alafu zidi kupambana huku ukimuomba Mungu afungue milango yake ya baraka.
Back
Top Bottom