Recent content by Kijoroo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Madereva wa Mabasi huwa wana haraka hata kama sehemu haiwaruhusu kupita wanalazimisha?

    Hii nchi ngumu mkuu wala hilo sio suluhisho. We hushangai Kila bus limefungwa king’amuzi cha kucontrol speed ambapo mfumo huo upo connected na traffic/polisi. Ila ni marangapi unatembea na bus king’amuzi kinapiga kelele kwamba dereva kazidi speed? Ulishawahi kuona bus limesimamishwa kwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Serikali tutafutie wanunuzi wa mahindi

    Upo hapo ngara umekaa tu na mahindi wakati jirani yako Kigoma ndoo 14,000! Yapeleke hapo ukavute pesa chap.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Confession about wauza mihogo coco beach

    Wale mawinga wa coco hawana tofauti na wale wa soko la karume. Kuna watu wanaamka asubuhi wanaenda Coco kwa kazi ya udalali kwenye ile mihogo na vimishkaki.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Confession about wauza mihogo coco beach

    Kuna viwanja vya maeneo ya beach kibao tu tena sehem nzuri huwez kuta unauziwa mishkaki bei ya kijinga kama wanavyotapeli hapo coco. Serikali iliacha lile eneo wazi ili walala hoi waweze nao kuja beach kuchezea maji na kula vyakula Kama mihogo. Serikali ikaona iwaruhusu raia wa hali ya chini...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Confession about wauza mihogo coco beach

    Hawa lalamiki huko hotelini kuuziwa soda elfu2 kwasababu wanapata huduma inayoendana na mazingira. Coco Mazingira ya hovyo tu unawekewa zile meza za plastic za cocacola na viti vya plastic, unaletewa vimishkaki 15 kwenye sahani la plastic Kama la mama ntilie wa soko la mabibo muhudumu yuko hovyo...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Unywaji wa mafuta gari ndogo

    Mimi nilikuwa nikisafiri na ractis old model ilikuwa inaenda 17/L ila nikiwa mjini zinapungua kutokana na foleni.
  7. K

    JamiiForums Tanzania TANROADS yasema imeimarisha udhibiti wa uzito wa magari kulinda miundombinu ya barabara na kufanya barabara kudumu muda mrefu

    Sielewi logic ya gari kuzidisha uzito na kupiga fine. Yaan barabara inapita lori la tan30 lakini lori la tan15 likizidisha uzito hata kilo 500 linapigwa fine wakati barabara inaruhusu kupita lori la tan30? TANROAD mlifikiria nini? Kama uharibifu wa barabara unasababishwa na uzito, hivi lori la...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hii ajali ya Handeni leo nimeishuhudia kwa macho ila nna haya ya kusema

    Umeongea kitu cha maaana sana. SA huwezi kuta ajali Kama hizi zetu na kule watu wanakimbiza Gari balaa. Gari ya speed 240 mtu anamaliza yote Au anaacha 10 tu. Barabara zinakarabatiwa kila wakati huwez kuta mashimo kama ya barabara zetu. Mwaka tutakaoweza kutanua barabara zetu Au kuzitenganisha...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hii ajali ya Handeni leo nimeishuhudia kwa macho ila nna haya ya kusema

    Lilikuwa wengé la usingizi. Kupaki gari na kulala alifanya jambo la maana sana.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Dereva Bolt amemjeruhi rafiki wa dada yangu na kutokomea

    Alikuwa na milioni10 alikuwa anahofia usalama wake.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nataka niwape stori za ndani ndani kuhusu kiongozi mmoja nchini

    Huyu mbunge nadhani ndiye huyu alofariki mapema mwaka huu alkuwa engineer wa Telecom
  12. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta Sehemu nzuri za kwenda kurelax Na Ku experience nature

    Sina picha Ila nenda Snowcap cottages iliyopo Nalemoru chini ya mlima Kilimanjaro njia ya Tarakea Moshi iko poa sana.
  13. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda apandikiza waigizaji kwenye madawati yake ya msaada wa kisheria ili kumpa kiki

    [emoji1787][emoji1787] nimecheka sana.
Back
Top Bottom