Recent content by kijoni

  1. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Salama kaka ulishapata wa kubadilishana naye mimi nipo same shule ya secondary vumari number yangu ni 0784528641
  2. K

    Fahamu jinsi ya Kulink/ Kuregister Paypal account Tanzania

    Tatizo ni kwenye street adress,zip code, na phone number hapo tusaidieni
  3. K

    TCRA washughulikieni Halotel

    Kama halotel wanafanya hivyo hiyo ni marketing strategy yao kupata wateja wao sasa kwa nini kuwashtaki ndio namna wameona kuwasaidia watu kupunguza ukali wa maisha kwa watu wengine ambao hawawezi kununua bandle za gali
  4. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo SAME nije ARUSHA MJINI idara secondary #0784528641
  5. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo SAME nije ARUSHA AU MOSHI MJINI 0784528641
  6. K

    Binti ajinyonga baada ya kujifungua mtoto njiti

    Okay lakini kwa tuliokuwepo hiyo ndio hali alisi ilivyokuwa na picha inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii sio yeye yule mtu ana operesheni kidonda kibichi upande juu ya mti?watu waache kupotosha tusubiri uchunguzi ukamilike na tuache kumzushia dada yetu tutasababisha na kuleta mafarakano...
  7. K

    Binti ajinyonga baada ya kujifungua mtoto njiti

    Ahsante amina jamani kama mtu hujui kitu usiongee tuu mtoto nimemuona wala siyo njiti mtoto alikuwa na ugonjwa wa manjano na pia alijifungua kwa operesheni na hakuwa na mpenzi mwingine wala alipata tuu kichaa cha mimba na wala hajauawa na mtu yeyote kabisa na tumekaa na watu wamekutana arusha...
  8. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo SAME nije ARUSHA MJINI idara secondary 0784528641
Back
Top Bottom