Recent content by kijobi21

  1. K

    Ujue msikiti uliojengwa na majini

    Uganga umekushinda sasa umeanza kutuletea story za sungura
  2. K

    Hivi pesa inapatikana wapi?

    Kwamba we ninan fungua code mzee
  3. K

    Hivi pesa inapatikana wapi?

    Nenda na wewe ili uwe km yeye wengne wanafanya vibiashara vidogo wanaposubili Mali zao zikue km huku kwetu iringa mafinga mtu anakuwa na ekal 40 za miti ya paina anaposubili miti ikue anakuwa anauza tuu kirabu siku ikifika anauza kila eka milion kumi mara eka 40 tial anamilion 400 akili...
  4. K

    Hivi pesa inapatikana wapi?

    Acha kupotosha umma kijana
  5. K

    Hivi pesa inapatikana wapi?

    Sio kila mtu lazima apate pesa wengne mtabaki kuwa washangiliaji wa sisi km hta kwenye mbao hukutoboa wewe ni maskini umbwa takataka
  6. K

    Hitimisho la Kesi: Licha ya hukumu kutolewa, hakuna official statement niliyokabidhiwa mahakamani

    Changamoto watoto yaan ...mkuu hizi ndoa usije ukaona watu wanaishi miaka mingi wanavumiliana kwa mengi sana na wanasitiliana sana na ukitaka ndoa idumu inabid mwanaume uwe unajishusha sana ...tushaambiwa ni viumbe dhaifu
  7. K

    Hitimisho la Kesi: Licha ya hukumu kutolewa, hakuna official statement niliyokabidhiwa mahakamani

    Kusalitiwa ndokunauma zaidi najua hilo ila naomba umsamehe maisha yaendelee mbna wenzio tunagongewa na tunasamehe tuu ili kusongesha gurudumu la maisha
  8. K

    Msaidizi wangu wa ndani anagawa vitu vyangu kwa wanandoa

    Kaa nae chini ongea nae kiupole atakuelewa tuu ...huyo ni sawa na mtoto wako na pia mwambie kuwa saiv haupo vizuri kiuchumi na unamtegemea yeye kupanga bajet vizur km mdogo ako
  9. K

    Msaidizi wangu wa ndani anagawa vitu vyangu kwa wanandoa

    Kweli dunia ipo ukingoni boss anamuogopa mfanyakaz...sem nimegundua kuwa unawaza akiondoka utapata tbu kumpata mwingne angali upo busy na kazi
  10. K

    Sio kila anayechelewa kuoa anapenda

    Umeongea ukweli kabisa mkojo wa asubuh umewasaidia watu wengi sana kuwatoa vifungo
  11. K

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Alijirahisisha baada ya kuziona zile elfu kumikumi ....kweli tutafute hela
  12. K

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Tumia hiyohiyo meditation ikupe ushauri km ilivyofanya kukuonyesha maovu ya usaliti wa mke wako usitusumbue sis wenyew tunastress zetu
Back
Top Bottom