Recent content by kijivo1234

  1. kijivo1234

    JamiiForums Tanzania Nimeamini sasa, dada Saro kapigwa risasi, mama mkubwa kauwawa!

    Sikumfahamu Mushi siku nyingi ila ni mwaka jana tu nilipopata ka ajira hapa UN..siku ya kwanza nilipomuona nilidhani ni mu Liberia..he looked gang...hakuwa na haiba ya Kitanzania kabisa..not smart ..very sad..sadistic...akaniambia kaka karibuu mie niko huku miaka minne sasa..ohh nikamuambia...
  2. kijivo1234

    JamiiForums Tanzania Nimeamini sasa, dada Saro kapigwa risasi, mama mkubwa kauwawa!

    RIP The humble and polite man Anthery Mushi
  3. kijivo1234

    JamiiForums Tanzania Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

    Huyu mtu anayedaiwa ni mchumba...ni Anther Mushi..Mtanzania, mchagga..marangu aged 34-36 ..mfanyakazi wa UN Darfur Elgeneina Sudan..Fundi CITS BIngwa..very humble and polite man very sadistic tangu nimemfahamu..not social..he had something on his heart..aliniaga bro. naenda nyumbani kuna jambo...
  4. kijivo1234

    JamiiForums Tanzania Mkemia Mkuu Waingia Tena Kwenye Ushirikina wa Kisukuma

    sampuli za DNA za huyo maulid kabla hajafa hazina umuhimu, kama DNA za wazazi wake zitakuwa established..
  5. kijivo1234

    JamiiForums Tanzania Nishani kwa Polisi na Wanajeshi wa Westgate

    Mimi mwenyewe kwa kweli simuelewi Abdul Haji na kamwe sitomuelewa..camera inamfuata yeye 2. Hana Bullet proof 3.Milio inayotoka ndani ni mikubwa ukilinganisha na kale kabastola kake alikokashika kizembe tuu 4. yeye pia ni msomali Ningekuwa Inteligence Officer .."i could have gone one mile far...
  6. kijivo1234

    JamiiForums Tanzania Madudu mengine ya IGP Mwema

    Kwa hiyooo..hii katiba ya nchi hii watu wanaiona kama karatasi au? katiba iliyokuweka madarakani hiyohiyo ndiyo inapashwa itaje muda wako wa kumaliza kazi..kwahiyo kwa kuwa ana nguvu mkali barabarani so ndio akae milele..hawa wachangiaji wa hii post wala siwaelewi au ndio haohao..oooii kwahiyo...
  7. kijivo1234

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Liyumba akamatwa na madawa ya kulevya yenye thaman ya Bil 9 Tsh

    sasa kwani Nzowa amekuwa hakimu tena?( disposal order) inatolewa na hakimu, na yanapashwa kuchomwa moto mbele ya hakimu, ofisa wa mkemia mkuu, daktari wa wilaya nk..sasa Nzowa hapo anahusikaje tena? si kashakamata na kafikisha kunakohusika.
  8. kijivo1234

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Liyumba akamatwa na madawa ya kulevya yenye thaman ya Bil 9 Tsh

    Duh kwani hujui kwamba kwa sheria za nchi yetu( Drugs Prevention Act) Bhangi iko katika kundi la madawa ya kulevya..pitia basi sheria kwanza ndio ushangae.
  9. kijivo1234

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Liyumba akamatwa na madawa ya kulevya yenye thaman ya Bil 9 Tsh

    Karibu kila kitu kinachotengenezwa hata kikiwa kimeharamishwa kwa matumizi ya kawaida kwa binadamu kina matumizi mengine..kwa maana hiyo lazima kina market value: Madawa ya kulevya kwa mfano yanatumika kama anaesthesis..yaani kama ganzi la kumlewesha mtu wakati wa kushonwa kwa operesheni ili...
  10. kijivo1234

    JamiiForums Tanzania Wafungwa wa Kitanzania waliokamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong wafunguka!

    Shikamoo mtoa thread
  11. kijivo1234

    JamiiForums Tanzania Wafungwa wa Kitanzania waliokamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong wafunguka!

    sasa suala hapa sio kama barua ni ya ukweli ama siyo ya ukewli...iwe ya uongo au ya ukweli hiyo kwa sasa ni information ambayo inapashwa kufanyiwa kazi..wapi Nzowa, wapi TISS kwa wanausalama mashujaa huo ni wakati wa kuchekelea informatio.
  12. kijivo1234

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu usimamizi wa mirathi.

    Masuala yote yanayohusu mali za marehemu baada ya kifo kama yalivyo majanga mengine ya kijamii nasimamiwa na Sheria za Tanzania,bila kujali dini, mila nk. Sheria ni lazima itasimama na kuwa chombo cha mwisho katika kutoa maamuzi..Msimamizi wa mirathi anaweza kuwa katika sehemu mbili either akiwa...
Back
Top Bottom