Pia N Vyema Kama Mh.Ataamua Kurudsha Laki 3 Mara Hzo Siku Alzokaa Mpk Hyo Wiki Alojiwekea Mpaka Wa Kuvuna,ili Dhamira Yake Ya Kutowadhurum Watz Iwe Safi
Habari wanajamvi.
Mimi ni daktari wa binadamu niko Nagpur India, naomba msaada wa taarifa kwa mwenye nayo kwamba wizara ya afya huko Tz wanatarajia kutoa majina lini ya walotuma maombi? Nami ni mmoja wao.
Kibali changu cha kuishi huku kinaisha hivi karibuni badala ya ku-renew natarajia kurudi...
Alwayz on top title yako inaendana na hoja zako well done>>>>>>>kwa m2 yeyote ambae hajastaafu kufikiri hawez kumpinga mh.ZZK kwa nia yake ya kutaka urais wa nchi na kumsifia mzee mtei kwa makemeo yake,suala la msingi ni kuangalia yupi ni mtu makini anayeweza kuongoza nchi bila kujali anatoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.