Recent content by KIJANI

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kutengeneza na kukausha chaki za mashuleni on sale

    Bado biashara iko WAZI.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kutengeneza na kukausha chaki za mashuleni on sale

    Mashine ya Kutengeneza na Kukausha Chaki za Shuleni ON SALE Tsh 30mil (Milioni 30) Karibu tufanye biashara. Call 0767 235923. Sifa za Mashine ya Kutengeneza Chaki: Inatumia Umeme wa Single Phase; Ni Semi-Automatic: Inatumia Motor kuchanganya Unga wa CHaki na Maji; Ina Moulds (vinu) 6 za...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Machine za kutengeneza school chalks

    35 Million. Negotiation is open. Karibu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Machine za kutengeneza school chalks

    SCHOOL CHALK MACHINE ON SALE DESCRIPTIONS: Ina Blocks 6 za Kutengeneza Chaki kila Block ina Matundu 800 (6 Moulds); Ni Semi-Automatic (Ina Motor ya kufanya Mixing ya Raw materials pamoja na Maji Automatically; Ina OVEN KUBWA ya Kukausha CHAKI baada ya kutoa kwenye Block/Moulds Eneo...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kutengeneza chaki

    NAUZA MACHINE YA KUTENGENEZA CHAKI PAMOJA NA CHAKI DRYER KUBWA DESCRIPTIONS: Ina Blocks 6 za Kutengeneza Chaki kila Block ina Matundu 800 (6 Moulds); Ni Semi-Automatic (Ina Motor ya kufanya Mixing ya Raw materials pamoja na Maji Automatically; Ina OVEN KUBWA ya Kukausha CHAKI baada ya kutoa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kutengeneza chaki za shuleni inauzwa 35mil

    DESCRIPTIONS: Ina Blocks 6 za Kutengeneza Chaki kila Block ina Matundu 800 (6 Moulds); Ni Semi-Automatic (Ina Motor ya kufanya Mixing ya Raw materials pamoja na Maji Automatically; Ina OVEN KUBWA ya Kukausha CHAKI baada ya kutoa kwenye Block/Moulds Eneo ziliposimikwa Mashine limekodishwa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la Samaki wabichi kutoka Mwanza

    Tafadhali weka mawasiliano yako hapa ama nipigie namba yangu 0767 235923.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Supplier wa samaki wabichi (sato) toka Mwanza

    Salaamu wanaJamii, Nataka kupata mtu anayeleta Samaki aina ya SATO WABICHI kutoka Mwanza kuja Dsm na anauza kwa Jumla tuwasiliane. Nataka kupata Mzigo (Mawasiliano: 0767235923). Karibu sana!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuingiza mashine za mbao Tanzania

    Mi niliagiza machine zangu toka China, nilifuata procedure za kawaida. Nisafirisha kwa Container ya 40ft mwenyewe na walinichaji $1150 to dsm. Gharama za kodi zinategemeana na aina ya Mzigo. Kuna kitabu chao cha kodi kinaelezea kila category na aina/kiwango cha kodi (Kiasi cha Import Duty -...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Madini ya "GALENA"

    Wewe una mgodi wa Galena au unanunua na kuuza? Supply capacity yako ni Tani ngapi kwa Wiki, Mwezi na Mwaka?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Duka la kaolin powder na titanium (T.T)

    Thanks mkuu...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Duka la kaolin powder na titanium (T.T)

    Wakuu habarini za Majukumu. Tafadhali naombeni kujuzwa kwa yeyote anayejua wapi inapouzwa naweza kupata: 1). Kaolin Powder 2). Titunium (T.T) - Whitening materials/solution Natanguliza shukrani wakuu.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Kwa maelezo haya ya kina ambayo ndo najua kazi haswa za TMAA, Ndg yetu SONGOKO hawezi kujivua hii habari ya Kutumika. hii ndio tatizo la vijana wengi wa kitanzania. Tunajivalisha miwani ya mbao na kuzitupilia mbali elimu zetu tulizozikwaa kwa gharama za walipa kodi wa kitanzania just kwa ujira...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Yeah nimekuelewa vzr kabisa na umejibu vyema. May be nijui upi msimu mzuri wa kulima ili kuweza kuvuna katika kipindi ambacho bei inakuwa iko juu??!
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Kwanza, linitaka kujua hizo data ulizotoa hapo ni kwa maeneo gani. Mfano gharama ya kukodi shamba hope inaweza kuvary kutokana eneo na eneo... mimi nataka kufanya Kilosa. Pili, gharama ya unwagiliaji hiyo inahusisha pump za kusukuma maji au aina gani ya umwagiliaji inatumika? Tatu, ulisema...
Back
Top Bottom