Recent content by kijanamimi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Maeneo mazuri ya kuishi Morogoro

    Mkuu bajeti yako ni ndogo sana,hii ni bajet ya chumba kimoja kama unahitaji vitatu tenga kuanzia 250k kwenda juu otherwise utaishia uswahilini
  2. K

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya viboko kidato cha tano na sita ifutwe

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  3. K

    JamiiForums Tanzania Milioni 35 itakamilisha ujenzi wa nyumba yangu?

    Na mimi najazia mkuu Boma + msingi = 10m Mashimo ya chooo = 2.0m (inaweza kuzidi hadi 3m) Kupaua + blundering = 8m Rough floor = 800k Magrill = 2M (inategemea na design) Plumbing phase 1 = 700k (vyoo vikiwa vingi inazidi) Wiring phase one = 600k Door frames = 700k Plasta ndani na nje = 3.5 M...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Dodoma mjini- bei za frem ya biashara

    Fremu za dodoma zinarange 300k -700k,inategemea na ukubwa wa frame,chache sana utapata kwa 200k.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Teller CRDB

    Mbona mdogo hivyo hawa hawa mateller wanaovimba bank au kuna wengine[emoji38]
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2022 unaelekea mwisho, Malengo yako yalikuwa yapi? Umetekeleza nini? Changamoto? Let's share experience!

    Nilikua nimepanga kusave kiasi flan cha hela nimefanikisha[emoji120]
  7. K

    JamiiForums Tanzania Chumba cha kulala kinatakiwa kiwe na ukubwa gani standard?

    Kabisa jumba kubwa sana mtu asijiloge kuanza kulijenga
  8. K

    JamiiForums Tanzania Walioitwa usaili TRA Septemba 2023

    Very technical questions ambazo zipo katika mfumo wa multiplechoices ,true na false,matching items,short answers etc. kama hujasoma lazima utoke kapa .
  9. K

    JamiiForums Tanzania Walioitwa usaili TRA Septemba 2023

    wameshatuma kwenye email kweli nimecheki
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wale wa TRA mkeka upo hewani

    kama vipi akaandamane kwenye ofisi za tiharayei 😂 maana naona amekazana kulalamika humu ndani na GPA yake ya 4.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Walioitwa usaili TRA Septemba 2023

    😂😂
  12. K

    JamiiForums Tanzania Walioitwa usaili TRA Septemba 2023

    nimekagua kila sehemu kwenye application yao sijaona mahali kulipo na namba ya usaili .
  13. K

    JamiiForums Tanzania Walioitwa kwenye usaili TRA idadi yao ni kama Nchi zima

    Hahahaa na hapo bado hujasoma,namba wala hazipo kwenye portal yao
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kujenga nyumba na kununua magari ni sababu mojawapo ya Umasikini

    :D :D ndio mana sipeleki rafiki site kwangu hata siku moja hata ndugu hawafiki seuse rafiki
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kujenga nyumba na kununua magari ni sababu mojawapo ya Umasikini

    kwa ujenzi wa sasa ,30m ni ndogo sana ,hapo lazima waishi kwa madeni,angalau ukiwa hujatumia mkopo unaweza kujivuta kwa savings zako ukamalizia finishing taratibu.
Back
Top Bottom