Kuhusu hizo faini isee zimekaa KIBABE KWELI, ila hili la usajili wa awali na wa sasa bado una changamoto, nimesoma mahali katika humu Jf kuna mchezo unaondelea wa kitambulisho chako na kidole chako kikasajili namba ambayo hata haikuhusu, ni hivi Wakala wakati ashachukua taarifa zako yaani namba...
Kwenye biblia yao kutambua taifa kuwa takatifu mmmmh, hapana[emoji1430], kwanza biblia yao ni tafsiri zaidi ndio imetofautiana na hizo nyingine lakini hawana shida na hizo nyingine, kuna unasomeka "....aliumba mbingu na nchi," na ile yakwao "....aliumba mbingu na dunia," umegundua nini hapo?
Tuwekane sawad
Tunakumbushana tu, Michael Jackson amezaliwa katika familia ya imani hiyo (wazazi wake), so yeye na baadhi ya ndugu zake si waumini wa imani hiyo kama vile dada'ake Janet Jackson
TAMADUNI ZA KIBONGO kila kitu DENI, Hebu wazia Serikali inakusomesha then inakudai ulipe PESA yao, wazazi wanakusomesha sio Wakukwamue ili uje Umudu Changamoto za maisha achilia mbali hilo kuwa ni WAJIBU WAO, Nao wanatarajia UWALIPE FADHILA.
BONGO KWELI BAHATI MBAYA
[Q UOTE="kivyako, post: 24060141, member: 69166"]Hatuna event jamani ya kufunika hizi habari za Lissu? Maana zinataka kuibuka tena
Kwa ile ya Meja Jeneral ilifia wapi? Tehtehteh[emoji38][emoji38][emoji38]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.