Recent content by kijana255

  1. kijana255

    JamiiForums Tanzania Ni mchallange vipi huyu mtoto maana akili yake imevuka mipaka ya elimu na hataki shule

    Nenda shule anayosoma wahonge walim wawe wanamruhusu awe anaingia darasa lolote kusoma analo jiskia
  2. kijana255

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Daa we jamaa umetisha kinoma noma yani hujui tu
  3. kijana255

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Jamaaaani Niwekeeni wimbo wa p1 black mtoto wa mjini?
  4. kijana255

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Huu ni ugonjwa?

    sawa mkuu
  5. kijana255

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Huu ni ugonjwa?

    nimepewa tu dawa ya kunywa na kupaka
  6. kijana255

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Huu ni ugonjwa?

    miaka 30 mkuu
  7. kijana255

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Huu ni ugonjwa?

    vipele kama ivo kifuani na pembeni ya sikio
  8. kijana255

    JamiiForums Tanzania Hili siyo gundu ni laana sasa!

    Mmmh huo mwandiko mzee
  9. kijana255

    JamiiForums Tanzania Nilishindwa kumuoa single mother kwa malezi aliyokua akimpa mwanae

    mkuu nimecheka sana yani comment yako na jina vinaendana kabisa
  10. kijana255

    JamiiForums Tanzania Yuko Bafuni Muda huu...

    atakuwa bikra mtt mpolee, anyway usisahau kuleta mrejesho.
  11. kijana255

    JamiiForums Tanzania Nimemtongoza Mhasibu hapa Ofisini bila kujua, tumekuja kukutana Lodge

    Hii stori haiwezi kunoga bila picha na video kabisaa
  12. kijana255

    JamiiForums Tanzania Aisee Siamini kama Swahiba Wangu ndo Ameamua Kuoa Mchumba kutoka Badoo.

    Acha tu tulimshauri kijana akawa kanogewa na mtaam saiv tupo nae tunapiga biaaaaa
  13. kijana255

    JamiiForums Tanzania Aisee Siamini kama Swahiba Wangu ndo Ameamua Kuoa Mchumba kutoka Badoo.

    Mrejesho. Ndoa imevunjika wiki iliyo pita, nilikuwa na jamaa tunachapa biaaaa, kanielezea kilicho msibu na mda ambao hajaishi kwa amani kwa iyo mjihadhali sana na aya mahusiano ya mtandaoni tuwaachie wazungu..
  14. kijana255

    JamiiForums Tanzania Amenirudishia 2900 yangu na hajibu meseji wala calls!

    hii story kali sana ila bila ya picha na video ni chai ya baridi
Back
Top Bottom