Hospital daktari kakuambia nini?vipele kama ivo kifuani na pembeni ya sikioView attachment 2406191
Hili nalo mkalitazame....Maliza balehe na vyenyewe vitaisha
Sasa si uwe na subira dawa zifanye kazi?nimepewa tu dawa ya kunywa na kupaka
Nina tatizo Kama hili limenianza naomba ushauri ndudu yangusawa mkuu
Hii ni folliculitis: maambukizi ya bakteria kwenye mashina ya vinyweleo.vipele kama ivo kifuani na pembeni ya sikioView attachment 2406191