Recent content by Kijana2

  1. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA: Hesabu za kura hizi hapa - Usisubiri mpaka 25 Oktoba 2015

    Utakufa na KIHORO MWAKA HUU FISIEM CHALII
  2. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Subirini ushindi wa Tsunami

    Hahaaaa! CCM ilipomchagua makufuli iliona ahueni japo chaguo lao alikuwa Membe ukweli ulio wazi wananchi wameichoka CCM leo Magufuli anaonekana kichekesho kwa unyenyekevu wa push up anaoufanya jukwaani ata uwezo wa upishi anaotamba nao imekuwa kama kichekesho ukiongeza na ze comedy bas ni...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ccm inasaidia tu watu wafike kwenye mikutano

    Nimekuwa nikifatilia ukarimu WA CHAMA tawala na niwapongeze KWA juhudi wanazoonyesha kipindi hiki CHA kampeni KWA kuwasaidia WATU kwenye kampeni...... Ila pasipo na Shaka ukarimu huu ungeonywesha katika uongoz wao LEO wananchi wasingeitaji MABADILIKO.....Ila KWA HAPA NI waz HUU NI USANII na...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza CCM kuingia Uchaguzi Mkuu bila hata chembe ya uhakika wa kushinda

    LOWASA kawashika sehemu nyeti
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hisa za Kampuni ya bia kuuzwa kinyemela

    Anaongea Upuuzi Achana naye...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Dodoma: Mkutano wa Mgombea Urais wa CCM Dr. Magufuli

    msanii ally kiba amefunika dodoma sio makufuli
  7. K

    JamiiForums Tanzania CCM Tujiulize, Hawa Watu Wanatuonaje ama Wanatuchukuliaje?

    wajinga tunakua pesa zenu na kusepa,,,,kura ukawa tu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

    ujinga tu wa kuwadanganya watanzania
  9. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Dodoma: Mkutano wa Mgombea Urais wa CCM Dr. Magufuli

    Niliandika Post yangu naona imegeuzwa Eti umerindima kwa ujio wa Makufuli jambo hilo si kweli watu wameenda uwaanjani na sasa kila mtu anashika njia yake na kusepa taratiuuu.....kilichoavutia wengi hapa ni show na hao waliobaki wale walioetwa na malori.........wanasbiri usafiri!!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Dodoma: Mkutano wa Mgombea Urais wa CCM Dr. Magufuli

    Zaidi YA MASAA 3 sasa WASanii wanaomba TU Now jukwaani NI TEMBA NA CHEGE WAMEPANDA WASANII WENGI!!! ILA WASIFUNGE MILANGO BAADA YA WASANII KUMALIZA MAANA WATABAKI WENYEWE!!!!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Shukrani mkuu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Shukrani mkuu
  13. K

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Asante Nikita nimeicheki
  14. K

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Wapendwa Naombeni kujua series Kali Zenye Action na kutumia Akili km prison break Zisiwe ZA mazombie...wala zinazoonyesha computerlized adi zinaboa PLZ PLZ msaada WENU wadau ZIWE action na zenye kutumia akili ....
  15. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 Lowassa akanusha tetesi za kuhamia CHADEMA

    HUU ujinga wanapandikiza hawa jamaa Auna kichwa wala miguu
Back
Top Bottom