Recent content by kijana wa ovyo

  1. K

    KERO Kituo cha Mwendokasi Mbezi Mwisho, leo Agosti 13, 2025 linakuja basi moja kila baada ya zaidi ya saa moja

    Huu usafiri umeshindikana waturudishie daladala tusingekuwa tunateseka kama tunavyoteseka jana sisi muhimbili to mbezi tumekaa toka saa 11 hadi saa 2 na 30 ndo ikeja gari ndogo masaa 3 bila gari kufika anaesema kuna daladala za mnazi huo ni uongo waliziondoa zikabaki chache waturudishie daldala
  2. K

    Alex Msama: Wanaomsema Rais Samia wanamsema Mungu, wanaoshutumu wanamshutumu Mungu

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mamamammae tumefikia huku kulinganisha binadamu mwenzio na mungu aisee uchawa
  3. K

    DOKEZO Askari Polisi wanachukua Bodaboda kwenye Karandinga Usiku huu (Mailimoja -Pwani) na kuondoka nazo bila maelezo yoyote

    Polisi shikilieni hapohapo hadi hawa maafisi usafirishaji (mbwa) waseme boda zao ni za kubebea abiria au zinatumika kuporea watu na mapanga
  4. K

    Ukiambiwa kuna viwanja vya bure uchague tu sehemu ya kujenga na kuishi kati ya Vikindu, Kibaha, Chanika na Bagamoyo, utachagua kujenga wapi?

    Sehemu nzuri kibaha kibaha kibaha kibaha kuanzia maili moja hadi misugusugu Sehemu nzuri sana na kumejenga sana kulinganisha kibaha na bagamoyo kisarawe mkuranga chanina sijui chanika nikuikosea heshima kibaha huko chanika na baba yangu amejenga kwangwale kaamua kupauza bei yenyewe ya mboga...
  5. K

    Kutoka Mwanza jiji hadi kutua DSM - Mbagala

    We msukuma Acha kuingizwa mjini mbagala sio sehemu ya kuishi kwa mtu mwenye akili unaonekana unapenda uswahili majungu na uchawi huko wanaishi wamakonde kwani na ww umekuwa mmakonde mbagala ni sehemu ya ovyo ambayo imejaa squatter futi 40 kwa 40 kwani unataka kujenga nyumba au kitufe choo ovyo...
  6. K

    Gari ipi ya Toyota unaipenda sana?

    Pemio premio premio premio premio premio premio premio premio premio premio premio premio premio premio premio premio premio premio premio premio premio premio premio premio premio Vanguard Vanguard
  7. K

    Watumishi wa serikali mliwezaje kutoboa, mbona mimi naenda kushindwa

    Unajua familia zetu za kiafrika umaskini unaturudisha nyuma sana tena sana
  8. K

    Watumishi wa serikali mliwezaje kutoboa, mbona mimi naenda kushindwa

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mkuu hio ndo tunayopata tunaishi kibishi
  9. K

    Watumishi wa serikali mliwezaje kutoboa, mbona mimi naenda kushindwa

    Halafu mbaya zaidi anaishi mkoani maisha simple anaenda kazini kwa mguu hatumii nauli akitoka kazini anawahi kufika angekuwa dar angesemaje kuna watu hata laki 5 haifiki ma wana madeni wamekopa je wao wanaishije wewe nunua kila kitu mkeo mpe hela ya chai tu per week halafu hao wazazi unawatumia...
  10. K

    Watumishi wa serikali mliwezaje kutoboa, mbona mimi naenda kushindwa

    Na hio laki 1 bado usafiri kwenda kazini kuajiriwa kusikie tu ndugu zetu huwa wanaamini kuwa uko serikalini mambo safi ila ukweli unaujua wewe
  11. K

    Magari gani ya kununua nyakati hizi kwa kijana?

    Bila shaka we utakua kabila fulani kanda ya ziwa jirani na 🇺🇬
  12. K

    Vurugu patashika nguo kuchanika Kituo cha Mwendokasi, Kimara nyomi la watu wakigombania kupanda basi

    Kwa hio wewe unaamini kwamba watu wote ni sawa na vipato vinalingana kwa hela gani watu wanazolipwa na mfumuko wa bei ya vitu nani ataweza ku afford bajaji na pikipiki na bolt toka mbezi kwenda kariakoo kivukoni au muhimbili kwenda na kurudi huyo mtu anaingiza sh ngapi hizi gari zinawabeba sana...
  13. K

    Vurugu patashika nguo kuchanika Kituo cha Mwendokasi, Kimara nyomi la watu wakigombania kupanda basi

    M Mwamba #Tlaatlaa katia mguu sema nini huu mradi watu wanateseka sana zaidi ya sana ni machungu full wizi hamna usafiri tunatumia tu ila basi bora warudishe daladala watu wamechoka sana inavyoonekana hata kuleta mabasi yenyewe imekaa kisiasa mbona mbagala huu mwaka wa 3 toka barabara imeisha...
  14. K

    Familia yadai ndugu yao kauawa mikononi mwa Askari katika Kituo cha Polisi Tabata Shule

    Wala hujakosea kabisa mkuu usicheke na mwizi kuna jirani yangu alivamiwa na vishandu wako na mapanga wakamukata vibaya sana hadi leo shingo haigeuki anageuka mwili mzima kapoteza muda mwingi hospital je hao wezi walichomfanyia ni sahihi auliwe tu nasema tena kwa herufi kubwa HATMA YA MWIZI NDO...
Back
Top Bottom