Recent content by Kijana ushe2

  1. Kijana ushe2

    JamiiForums Tanzania Anaweza kupokelewa shuleni mwakani?

    Kwanza pole kiongozi kwa saibu hilo. Ninavyofahamu na pia ningependa ufanye yafuatayo: 1. Tafuta mawasiliano ya shule aliyochaguliwa kijana huyo upate ya mkuu wa shule na umweleze kinaga ubaga kuwa kijana alikuwa mgonjwa mwalimu atakuelewa sana na hapo atamuadimiti (apampa admission number) na...
  2. Kijana ushe2

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Huenda mmoja kati ya hawa akamrithi Rais Samia Suluhu 2030

    H uyu ndie atakuja kuwa Rais!!!?
  3. Kijana ushe2

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Profesa Juma Kapuya atangaza kugombea ubunge jimbo la Kaliua 2025

    Huyu anagombea kaliua
  4. Kijana ushe2

    JamiiForums Tanzania Matokeo darasa la nne yamechelewa sana

    TUSUBIRIE alhamis au ijumaa tarehe 4.1.2024 au 5.1.2024
  5. Kijana ushe2

    JamiiForums Tanzania Mtoto anayeandaliwa kuwa Rais wa JMT mwaka 2050 na jinsi makisio yanavyopishana: Hata hivyo ya Mungu mengi

    Ana miaka mingapi vile? Maana 2016 alikuwa hajazaliwa
  6. Kijana ushe2

    JamiiForums Tanzania Kama sauti hii ni sauti ya kweli, nimeelezwa Mpango ndio mpango mzima. Swali ni akiwa Mkristo, kwanini ni lazima awe Mkatoliki?

    Watu walimzushia kifo yaani huyu mheshimiwa ni mpole mkatimu hana baya!!! MWENYEZI MUNGU AMLINDE ZAIDI NA ZAIDI
  7. Kijana ushe2

    JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu kidato 6, 2023. Bila upanuzi vyuo vikuu ni Div one tu wataingia vyuo vikuu

    Labda all kuwa HGE AU HKL!!! tusidanganyane yaani PCM,PCB,PGM AU PMC ashindwe newton's third law of motion!!!!
  8. Kijana ushe2

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    HII NCHI YETU IPO KWENYE UPANDE WA VATICAN!!! ndio maana wanafanya rotation ya Marais Ili wazanzibar wapate nao rais nje ya hapo RC INAHUSIKA
  9. Kijana ushe2

    JamiiForums Tanzania 2013 kurudi nyuma ukipata division one watu wanakushangaa ila siku hizi ukiikosa watu wanakushangaa zaidi!

    Mkuu nimekuambatanishia mitihani ya mwaka Jana format mpya na mwaka 2013 nimeweka Pepa zake!!!! Hapa hakuna utofauti na maswali ya Sasa yanakuja technically sana!!!
Back
Top Bottom