Open ngumu mnoo tofauti na ufikiriavyo, na mtaala umebadilika. Wanaodahiliwa ni 200 kwa mfano ila wanaohitimu ni watu 7. Ni miongoni mwa vyuo vigumu sana kutoboa kwa msuli wake. Nimesoma OUT tena nikiwa nimetoka FORM six moja kwa moja nikiwa bwana mdogo.
Kama wewe ndiye uliyefika chuo kikuu basi ni msiba mzito sana kwa taifa, mwanachuo kikuu huwezi hata kupembua mambo na kusoma kwa uwelewa kwa tangazo dogo kama hili, unapaswa kurudi tena chuo ukajifunze mambo, bado wewe ni mweupe mnoo. Soma tena andiko langu hilo la juu hadi mwisho, usikaze...
Kwasasa mfumo wa assignments kwa wanafunzi wa OFP haupo, continuous assessment iliyobaki kwa OFP ni MTT tu, ukifanya MTT jiandae na AE ndugu yangu. Hivyo haina athari ukiacha kufanya Assignments zilizopo moodle, na nyingi zimepita muda wake, kuanzia mwaka mmoja hadi miaka minne.
Ndio, mahusiano yapo.
Elimu inayotolewa OUT ni kwa mfumo wa masafa yaani hiyo OPEN AND DISTANCE LEARNING (ODL). Ingawaje kuna baadhi ya kozi hukutana ana kwa ana walimu na wanafunzi kwa mwaka mara moja, kama vile practicals kwa wanafunzi wa sayansi na sheria pia.
Sasa uliuliza na ukajibiwa kiusahihi, baada ya hapo unapaniki ndugu?? How?? Punguza stress kwanza ndugu yangu kabla hujatumia mtandao wa kijamii kama huu.
Inaangalika na masomo ya kufundishia, ila kiujumla mwanafunzi anatakiwa akamilishe jumla ya units 40 kwa programu yote yaani masomo ya kufundishia na yale ya education.
Habari wakuu,
Kichwa cha habari chajieleza, nina darasa kwa ajili ya kujifunza kusoma, kuandika na kuhesabu Kiswahili na Kiingereza kwa watu wazima. Unaweza kuja darasani Yombo Dovya, Temeke, Dar es Salaam au namfata mwanafunzi popote alipo ndani na nje ya Dar es Salaam.
Karibuni kwa ajili ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suruhu Hassan amesoma OUT, kwa level ya masters, kama haupo vizuri kichwani OUT huwezi toboa, OUT ni chuo kigumu sana kwa hapa Tanzania kuliko chuo chochote kile.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.