Hapa elimu inatakiwa, ninavyojua mjamzito mwenye complications kama mapacha na baadhi ya matatizo mengine kama hayo hatakiwi kuanza uchungu akiwa nyumbani, na kila mama mjamzito anaeenda clinic anaelezwa mambo haya. Kinachoshangaza watanzania tuko wagumu kuelewa FACTS! Na matokeo yake...
Yeye ni kiongozi wa ngazi ya juu na heshima kubwa amepewa na chama. Ningependa kuona yafuatayo...
Akili ni kwa makosa yapi Watanzania wamsamehe.
ZZK inabidi awajibike aachie ngazi na ahidi kutorudia
ZZK ni MCHU WA MADARAKA KIBULI NA TAMAA!!! Hawezi kuwa RAIS wa TZ... Na nahisi amelitambua hilo, japo sijaamini bado maana amegusia suala katiba na interest yake ni umri kwenye katiba .... poor ZZK
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.