Recent content by kihwa

  1. kihwa

    Matumizi ya shisha

    Hajui madhara ndio mana
  2. kihwa

    Matumizi ya shisha

    Wakuu mimi ni mwalimu nafundsha shule ya girls tu lakini nahisi wanatumia sana shisha naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia madhara yake na jinsi ya kuwashauri waachane na hayo matumizi. Much thanks
  3. kihwa

    Must see Movies

    Nataman kupat list ya romantic movies mithili ya midnight sun
  4. kihwa

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Msaada wa hili swali la chemistry diploma level
  5. kihwa

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Jaman nnaweza kutumia link gan for downloading series na movies
  6. kihwa

    Past papers for Advanced level

    Habar waungwana nina shda na mitihan ya A level package za masomo yote pamoja na marking scheme naomba msaada DM [emoji123][emoji120]
  7. kihwa

    Past paper and their scheme for ACSEE

    Habari za mchana kama kuna mtu anaweza kunipatia package ya question paper na marking scheme naomba aje DM please [emoji120]
  8. kihwa

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Habar za mchana Kama kuna mtu anaweza kuwa na package za a level question with answers kindly aje DM tuelewane asante sana
  9. kihwa

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Good afternoon What are the adaptation of reptiles towards changes of climatic conditions
  10. kihwa

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Hello nnq shda na past paper za shule kama Marian Baobab Feza mazinde juu st Francis please DM me
  11. kihwa

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    A chemical reaction has activation energy of 70kj/mol uncatalyses at 293k and when catalyst was used activation energy was 20kj/mol at 20°C . How fast was the reaction? Naomba msaada wa hili swal please[emoji120][emoji1666][emoji1666]
  12. kihwa

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Samahan kama kuna mtu anaweza kunisaidia material ya Advanced chemistry soft copy ya Ngaiza
Back
Top Bottom