Recent content by kihoso

  1. K

    JamiiForums Tanzania Trafiki mkoa wa Pwani watakiwa kukusanya 900,000/= toka kwa madereva

    Umeamini kuwa kwa style hiyo ccm haitoki?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Trafiki mkoa wa Pwani watakiwa kukusanya 900,000/= toka kwa madereva

    Wana jf, Kuonesha rushwa imeidhinishwa katika jeshi la polisi,trafiki mkoa wa Pwani wameelekezwa na wakubwa wao kama nilivyopata hii story kwa dada moja ambaye ni trafiki ,kila trafiki anatakiwa kupeleka kila mwezi shiling 900,00/= kwa kuwaandikia madereva faini je hizo pesa kweli zinafika...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nyota ya Mwigulu Yazidi Kung'ara!

    kweli wewe ni mbumbubu nini kafanya cha kuwatisha cdm? Mwigulu ni k tu cha moto atakiona 2015 wamtayarishie makazi kama ya balali
  4. K

    JamiiForums Tanzania Lukuvi: Filikunjombe ni mtu wa CHADEMA

    hao waliofanya kwa kolimba hawawezi tena fanya mambo haya
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanapoongea, watoto wa kiume wakae kimya - Nchemba

    huyu mwigula ni chiz hakujua kama atafika hapo
  6. K

    JamiiForums Tanzania Huu ndio utundu wa Lissu bungeni

    watekeleze wataiba nini?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Huu ndio utundu wa Lissu bungeni

    wewe na baba yako mnategemea maujanja ujanja subiri muone walikuwa akina sadam hussen sembuse ninyi wafugaji.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hali tete Bukoba,polisi wafunga barabara kuzuia maandamano

    Nasema hili jeshi la polisi si jeshi la usalama wa raia ni jeshi la usalama wa wezi wa mali za taifa hili chunguza utaamini hakuna mnyonge anayetetewa na jeshi hili
Back
Top Bottom