Rais ajaye
Hana lolote anataka ulaji tu! Nimemisi sana Dr Amani Walid Kabbouru! hivi yupo?
Mpuuzi tu huyo
upeo wa job ndu-GAY hafahamu kuna kizazi kijacho anachokinyima maendeleo...!
Nawapongeza wana Singida kudiriki kuchagua asiyekua mnafki bungeni,kwani ni mtu mmoja ila nikama wabunge 70 bungeni. Sio kwamba hana usingizi bungeni kama wabunge wengine hasa wa chama tawala ila
anaumwa ugonjwa wa UZALENDO NDOMAANA
HAISHI KULITUMIKIA TAIFA KWA UJUMLA.[/QUOTE
]
Wabunge watano wa Chadema ni sawa na wabunge wote wa ccm Pale bungeni,huwezo wao kufikiri umeoza kazi yao wanawaza posho tu,hakuna wanachokifanya zaidi ya mipasho tunawasubiri majimboni kuwahukumu 2015