Recent content by Kiherehere

  1. Kiherehere

    JamiiForums Tanzania RC Mnyeti atoa miezi mitatu ujenzi wa viwanda 100

    siku hizi mashine ya kusaga unga na mchele nayo inaitwa kiwanda......si zamani tulikua tunaita "mashineni"...............leo ni kiwandani?? Lahaula lakwataaaaa
  2. Kiherehere

    JamiiForums Tanzania RC Mnyeti atoa miezi mitatu ujenzi wa viwanda 100

    siku hizi mashine ya kusaga unga na mchele nayo inaitwa kiwanda......si zamani tulikua tunaita "mashineni"...............leo ni kiwandani?? Lahaula lakwataaaaa
  3. Kiherehere

    JamiiForums Tanzania Mliompigia debe Magufuli nawauliza swali...

    Mzee, hapa wali-hack account nini??? Au sasa hivi ndio wai-hack
  4. Kiherehere

    JamiiForums Tanzania Ni maandamano au ni mapinduzi?

    Lizaboni kweli umechanganikiwa, nakupa mapungufu ya kipumbavu nilioyaona kwenye bandiko lako...nachelea kusema ya kipumbavu kwa sababu ni ya kipumbavu hujayapa makalio yako nafasi ya kufikiri;- 1.Revolution ni mapinduzi...lakini neno mapinduzi halilengi katika kuondoa tawala tu!!!, Tazama mambo...
  5. Kiherehere

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Bosi wako anapokuambia "Halogeki" nini tafsiri yake ndani ya Utumishi wa Umma?

    hamna aisee...hamna atakaekuelewa
  6. Kiherehere

    JamiiForums Tanzania Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

    Hizo sio Nchi ndugu yangu...ni Jehanam
  7. Kiherehere

    JamiiForums Tanzania Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

    mhhhhh!!! mbona hamna nchi hata moja ya maana zaidi ya Kenya???
  8. Kiherehere

    JamiiForums Tanzania Clouds 360: TRA wamelipwa kodi zote magari 44 aliyokamata Waziri Mkuu kinachodaiwa ni storage ya TPA tu!

    Hilo ndio la msingi...maana kwa uhalisia.....kama yule bwana hakulipwa 70% maana yake...documents zilikuwa directed to bank......., ili atakapolipa hiyo 70% bank wam-release hizo dicuments. sasa hapa mawili;- 1. Either jamaa aliongea/aliaminiana na bank, wakampa pasipokupokea hiyo 70%, ili awape...
  9. Kiherehere

    JamiiForums Tanzania Clouds 360: TRA wamelipwa kodi zote magari 44 aliyokamata Waziri Mkuu kinachodaiwa ni storage ya TPA tu!

    We jamaa....msiwe mnakurupuka kusema kama taratibu hamzijui....kwanza tu, elewa;- Kupata port charges (include port storage) lazima hizo hatua ikiwepo ku-surrender "original BL" zimeshafanyika. Sasa kama alicheza michezo akaweza kuzunguka kuipata hiyo BL..hilo halituhusu...ila elewa...huwezi...
  10. Kiherehere

    JamiiForums Tanzania CCM Ijihadhari na Wanasiasa Materialistic

    CCM inaongozwa na mawazo ya Bashite....mwisho wa mjinga kufikiri.....ndio hapo mwanzo wa mwelevu kufikiri
  11. Kiherehere

    JamiiForums Tanzania Waziri Lazaro Nyalandu ajibu tuhuma za Mbunge Joshua Nassari

    Alafu dola mnayo nyie??
  12. Kiherehere

    JamiiForums Tanzania Waziri Lazaro Nyalandu ajibu tuhuma za Mbunge Joshua Nassari

    hebu tuambie list ya mafisadi walioko CCM kwa sasa ili wakihama tuwajue!!! Maana wakiwa kwenu...CCM safi, wakihama ...ooh mnachukua mafisadi. Tupe list ya mafisadi ambao bado mko nao.............. 1...... 2..... 3..... . . . . .
  13. Kiherehere

    JamiiForums Tanzania Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

    dah!!! thread nyingine za kimama sana!!!
  14. Kiherehere

    JamiiForums Tanzania Wasipokaa chini na kumaliza tofauti zao, naiona Vita kati ya Nairobi na Dodoma inakaribia

    Haya mambo yoote ulioeleza yametokea kipindi cha awamu ya ngapi ya uongozi wa Tanzania??
Back
Top Bottom