Recent content by Kigwangalla

  1. Kigwangalla

    Picha: ACT-Wazalendo Kasulu Mjini leo

    Nitafika tu baadaye!
  2. Kigwangalla

    Nahisi nimemeza vipande vya chupa

    Hizo ni object tu, jitahidi uende haja kubwa mara kwa mara itakusaidia kuflush,, lakini kwa msaada zaidi pata ushauri wa madaktari. Pole sana!
  3. Kigwangalla

    CV ya Marcossy Albanie, mgombea Ubunge jimbo la Morogoro Mjini CHADEMA

    Nimekutana na kukaa na Dr. Marcus Albannie kwa kweli anaonekana ni kiongozi na mwanaharakati imara sana, Kiongozi mwadilifu na mtu Mwenye ushawishi na uwezo wa kujenga hoja. Nilikuwa nikimuangalia tu kwenye TV zetu na kumsikiliza lakini baada ya kukutana naye na kumsikiliza jinsi anavyojenga...
  4. Kigwangalla

    Tukumbushane kuhusu mabondia wakali wa Tanzania na sifa zao.

    Miye namkumbuka Stanley Mabesi, Makoye Isangura, Michael Yombayomba, Ally Matumla huyu alimkalisha mtu Zambia huko miaka ya 90 nusu amuondoe duniani..
  5. Kigwangalla

    STRABAG: Kampuni ya kimataifa iliyofanya makosa ya ajabu

    U - turn ni U - turn tu inakuwaje tena round about??
  6. Kigwangalla

    CCM na mmeguko huko zanzibar

    Juma Mohammed Ally alikuwa ni nani wazee?, na je alikuwa na ushawishi gani chamani?? Na kwanini ajitoe gambas??
  7. Kigwangalla

    TANZIA John Nyerere afariki dunia

    Andrew Nyerere haja jibu??
  8. Kigwangalla

    Jack Pemba azua tafrani Dar

    Hivi bado tu ni kijana, he was old ten years ago 😀😀😀
  9. Kigwangalla

    Hili la watangazaji wa radio kuandaa matamasha, limekaaje?

    Utashi ni kitu kibaya sana
Back
Top Bottom