Recent content by Kiguturi Nyamili

  1. K

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania imejiandaa kupokea dawa za Astra Zeneca zilizokataliwa huko kwingine? Pia tutakubali dawa za COVAX kama mkopo au tutagharamia wenyewe?

    Rais amesema ataumda tume ya wataalamu, itakuja na majibu. Acheni kupiga ramli
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Taarifa ya CAG imeonyesha ATCL inapata hasara, je tuendelee kununua nyingine?

    Ndugai , hupaswi kuyasema hayo kwa wabunge wanojua umefunja katiba, maana yake hujali sheria za nchi. KWA mujibu wa katiba yetu hatuna Mbunge binafsi, Mbunge anayetokana na chama ,uwanachama wake ukikoma na ubunge wake hukoma pia. Umefunja katiba, unataka kujadiri ndege! Anza kwanza kusafisha...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Suala la Madini: Serikali ya Magufuli haikutueleza ukweli wote

    Walizoea kuongopewa Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ataka nafasi 6,000 za walimu kujazwa

    Yes ,huo ndiyo ukweli,
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hili la Dkt. Mpango kuwa Makamu wa Rais ni "mchafukoge" tafakari

    Wanaeweza kukwapua yeye asijue ama akaja kujua baadaye, kwani saini yake ilihitajika ili zitoke huko bot?
  6. K

    JamiiForums Tanzania UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan

    Hajakosea amoena mwanga ,ametambua hakutenda haki kwa baadhi ya watanzania, amejua alikosea, amejua hawezi kufa na.chama,.atakufa Yeye na mbele Mungu atasimama yeye ,chama kitabaki duniani. Badala ya kuhuburi amani , ni wakati sasa watanzania tuhubiri haki ambayo hiyo imebeba amani. Ccm...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rais Hussein Mwinyi: Zanzibar inakabiliwa na ugonjwa wa Corona

    Tafadhari inayotangazwa ni changamoto ya magonjwa ya kupumua siyo corona. Unaelewa matamko kabla hujawabishia watu wenye akili.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rais Hussein Mwinyi: Zanzibar inakabiliwa na ugonjwa wa Corona

    Hongera Rais Mwinyi' agiza chanjo,wataalamu wakithibitisha zinafaa,chanja watu wako. Zanzibar huru,nchi huru. Mungu akuzidishie maisha marefu kwa kuchukua hatua za kutekeleza kiapo chako" KULINDA MAISHA YA WAZNAZIBARI"
  9. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli upo sahihi kwa 100% unapothubutu kuhoji ubora wa Chanjo ya Corona

    Zipo taasisi zenye Kufanya kazi ya kuthibitisha ubora na usalama wa dawa,chanjo,vyakula na bidhaa nyingine. Ndiyo zingefanya kazi hiyo
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wako wapi Kapteni Mkuchika, Dkt. Mpango na Salma Kikwete?

    Mpango je
  11. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

    Huwezi kuikataa adhabu ya Mungu kwamba haipo wakati Mungu ameamua kuishusha kisha Taifa la Ikabaki.salama. Rais wangu kukubali korona.ipo.na.kuwapima watu wako ili kujua ukubwa wa tatizo NI moja ya uwajibikaji wako kwa watu wako. Nchi imevamiwa na adui ,ana silaha kubwa ,na za kisasa. Badala...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Sikuabliani na Magufuli kuhusu somo la Historia. Kama ni Uzalendo, watoto watajifunza kwenye somo la URAIA

    Acha wahangaike. Hakuna mzalendo wakati hajui kesho yake. Uzalendo haujengwi kwa historia ya nchi. Bali uzalendo hujengwa na haki ,usawa , furaha, na uhuru katika Taifa.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Je, Rostam Aziz ataitikia wito wa kugombea Ubunge Morogoro Mjini?

    Tueleze tofauti yake ,Mkulu kamtaja NI mtu mmoja , alinunua viwanda avifufue ,badala yake akavichukulia mkopo ,mkopo akanuanua mabasi. Kumbe mkulu kalishwa uhalo naye katoa uhalo! Tueleze tofauti yao
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwa kilichotokea Morogoro, nimetambua kuwa duniani hakuna viumbe wanafiki kama Watanzania

    Hapa suala siyo anachukua , bali alinunua. Ikawa mali yako ,ukumbuke hakuingia ubia na serikali. Ukiwa na.mali yako Unaweza kuibadidrishia matumizi kulingana na mahitaji yako, hesabu Zaki za faida. Kwa Hili la.Abood sioni kwa Nini ashambuliwe hadharani vingenevyo NI mipango tu ili kutuamisha...
Back
Top Bottom