Recent content by Kiguruwe

  1. K

    PreGE2025 Rais Samia aamsha shangwe baada ya kuwalipia tiketi abiria wote waliosafiri kwa treni ya kisasa

    Hiyo ni rushwa dhahiri kwani kutoa motisha yoyote wkt nchi inaelekea kwenye uchaguzi ni kosa.
  2. K

    Ndoto hizi zina maana gani katika ulimwengu wa kimwili?

    Pole sana kijana, ndoto huchangiwa kwa kiasi kikubwa na mazingira unayoishi, matarajio yako pia changamoto unazopitia; kwa kifupi mustakhabari wa maisha yako ni mbaya kwani una mawazo tegemezi/ombaomba na usipochukua tahadhari utakufa maskini.
  3. K

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Wanatuanda kisaikolojia ili kuliuza shirika kirahisi
  4. K

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nimebadilishiwa mita tangu tarehe 25 Nov'23 lakini hadi leo mita mpya Na. 24316665157 haiwezi kuingiza token na hivyo niko gizani kwa zaidi ya siku 10; Na. ya taarifa karibuni ni 4568614, kama kuna malipo niambieni
  5. K

    Siku hizi mabasi ya abiria yanafungwa ving’amuzi vya Azam TV

    Bakhresa ni tajiri Na. 4 hapa Tanzania baada ya Ally Awadh wa LAKE OIL wakifungana kwa utajiri wa $600 Mil kila mmoja wakati Mo ni Na. 1 kwa utajiri wa $1,500 Mil ($1.5 Bil) akifuatiwa na Rostam Aziz; maandazi huwa hayana faida sana[emoji1787]
  6. K

    Ushauri: Gari ya milioni 60

    Toyota Kama ni gari ya kutembelea kwa Tshs 60Mil namshauri anunue Toyota Harrier 4WD New model, yenye chini 50,000 km ya mwaka kati 2014 na kuendelea; Utanishukuru
  7. K

    Rostam ni Mfalme na mwamba hapa Tanzania

    Unapaswa kupimwa km hujatumia kilevi ulipokuwa unacomment
  8. K

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amsimamisha kazi Afisa Manunuzi Wilaya ya Karagwe kwa kutoridhishwa na ujenzi wa Hospitali

    Swali hilo nalo ni vyema ukamuuliza Afisa Manunuzi ndio maana amesimamishwa kazi awajibu wadau kama wewe na wengine!
  9. K

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amsimamisha kazi Afisa Manunuzi Wilaya ya Karagwe kwa kutoridhishwa na ujenzi wa Hospitali

    Swali hilo nalo ni vyema ukamuuliza Afisa Manunuzi ndio maana amesimamishwa kazi awajibu wadau kama wewe na wengine!
  10. K

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amsimamisha kazi Afisa Manunuzi Wilaya ya Karagwe kwa kutoridhishwa na ujenzi wa Hospitali

    Hatua iliyochukuliwa na Waziri Mkuu (ya kumsimamisha kazi A/Ugavi) ni sahihi kwani ndiye aliyenunua hizo 'tiles' mbovu na kama aliagizwa basi ni yeye atakayetoa taarifa/maelezo hayo kwa dola!
  11. K

    Profesa Mkenda aapa kutotoa vibali vya kuagiza sukari

    Kwa utaratibu tunaoenda nao Bashe atapewa huo uwaziri lakini Prof. Mkenda msimamo na kauli yake bado itaendelea kuwa na mashiko; Wenye viwanda vya sukari wananunua sukari ilizoisha muda na ya viwango vya chini nje ya nchi na pia kupitia Zanzibar kwa gharama ya chini kufikia 40% ya gharama ya...
  12. K

    Mradi wa Stiglers Gorge HEP hauwezi kukamilika 2022, Novemba 2021 bwawa halianzi kujazwa maji

    Mleta mada amesema yeye anafanyakazi kule kwa waarabu hivyo huwa anasikia wakiongea baada ya kurudi toka kazini na kuna shoga mwenziwe kamuunga mkono, kwa hiyo ni maneno ya kusikia na hisia za mtoa mada; Kwa kifupi mradi utakamilika kama ilivyopangwa hasa baada ya Mama kubuni mbinu za kupata...
  13. K

    Kwa kilichotokea Morogoro, nimetambua kuwa duniani hakuna viumbe wanafiki kama Watanzania

    Hakuna unafiki wowote ktk suala hilo kwani Mhe. Rais alikuwa sahihi kumchamba/kumsema na kumkosoa Mhe. Abood kwani alichokifanya ni sawa UHUJUMU UCHUMI ila kwa awamu zilizopita ilikuwa ni DILI; mkopo aliopewa kufufulia viwanda ungezalisha ajira ya zaidi ya 6,000 wkt yeye kanunua mabasi ya...
  14. K

    Prof. Mussa Assad: Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote juu ya uteuzi wa CAG mpya

    Mtumishi yeyote unapoajiriwa lazima ufahamu na kuheshimu Mkataba wako na kwa kawaida unapaswa kumtaarifu mwajiri wako miezi 6 kabla ya kipindi chako kwisha hivyo Prof. Assad alipaswa kuomba kutayarishiwa stahili zake tangu mwezi Mei '19; Mwajiri kama atakuhitaji uendelee ndipo utaendelea na...
Back
Top Bottom