Prof. Mussa Assad: Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote juu ya uteuzi wa CAG mpya

Miaka yake mitano teyari anaweza kwenda kulea wajukuu zake. Na kwa mujibu wa sheria ukishakuwa CAG haruhusiwi kujiunga na chama cha siasa

Musa Asad alitaka awe kama Mbowe, muda umekwisha mzee. Ukiona CAG anakalia kiti hapo kwa muda mrefu ni matakwa ya mtawala tu lakini kisheria ni miaka 5 au utumbuliwe kwa maslahi ya umma

Katiba ajatunga Mungu, kifungu 1 kinakulinda kifungu 1 kinakutumbua..
 
Mkuu, sheria gani hiyo, Prof Assad ana umri wa miaka 58, kwa hiyo kumstaafisha kabla ya kutimiza umri wa miaka 60 ni kuvuja sheria ya nchi.
Prof Mussa Assad atakumbukwa na vizazi vijavyo kama Mtanzania pekee kwenye awamu ya 5 aliyebakia amesimama dhidi ya ya utawala dhalimu, usioheshimu misingi ya Katiba, utawala wa sheria na utawala bora.

Jina lake litaandikwa kwenye kitabu cha mashujaa kwa wino wa dhahabu kwa kuwa alikataa kutepeta dhidi ya utawala wa kidikteta wa Magufuri. Amekataa katakata kulamba soli ya viatu vya Magufuri kama wanavyolamba wengine mfano Jaji Mkuu, Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, DPP na AG.

Profesa Mussa Assad umewatendea haki Watanzania na umeonyesha thamani ya elimu yako kwa kuibua upotevu mkubwa wa fedha za walipa kodi wa nchi yetu zipatazo Tsh 2.4 Trilion kwa kipindi cha miaka 4 kutoka utawala unaojifanya anachukua rushwa.

Yanayoendelea tunayaona kwa kupitia mteule anayekuja kuchukua nafasi yako. Hata kipofu anajua Charles Kicheere amekuja kubariki mazingira ya "plunder with impunity" kwa kipindi Magufuri atakapokuwa madarakani.

Kupumzika Prof Mussa Assad, kazi yako ilikuwa ni ya kutukuka, tutakukumbuka hata Muumba akiwa amechukua roho yako.
 
CAG amestaafu kwa mujibu wa sheria

Kama wapinzani wanampenda wamwajiri maana kila mwaka wanapata hati chafu ya ubadhirifu wa pesa
Nakushauri fanya toba ya maombi kwa Mola akujaalie hekima na busara ktk miaka yako iliyosalia hapa duniani. Unaonekana uu punguani wa akili na busara. shame!
 
Kwa kuzeeka vibaya hakushindi wewe.

Hivi bado unaokota chupa za maji??
CAG ameongea kutafuta huruma ya Wananchi kama kawaida yake ili aonekane ameonewa
Mkataba wake wa ajira umeisha,wapo Watanzania Wengi wenye sifa za kushika hicho cheo,asije akajiona yeye ndio perfect peke yake

Huyu mzee anazeeka vibaya
 
Ibada ya kusifu na kuliabudu jiwe imekukolea,sasa unanena kwa lugha
Kuna sehemu Prof. Assad anakwama!!!! Alitakiwa kutojibu lolote kipindi hiki ( kama kweli ametoa maneno hayo)!
Miaka yake mitano teyari anaweza kwenda kulea wajukuu zake. Na kwa mujibu wa sheria ukishakuwa CAG haruhusiwi kujiunga na chama cha siasa

Musa Asad alitaka awe kama Mbowe, muda umekwisha mzee. Ukiona CAG anakalia kiti hapo kwa muda mrefu ni matakwa ya mtawala tu lakini kisheria ni miaka 5 au utumbuliwe kwa maslahi ya umma

Katiba ajatunga Mungu, kifungu 1 kinakulinda kifungu 1 kinakutumbua..
 
UTEUZI wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), umefanyika huku, Prof. Mussa Assad akiwa hajui lolote.

Prof. Assad, aliyekuwa CAG kabla ya utenguzi uliofanywa na Rais John Magufuli jana tarehe 3 Novemba 2019, ametoa kauli hiyo wakati akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili ya BBC.

Prof. Assad ameeleza kuwa, alipoteuliwa mwaka 2014 kuwa CAG alipewa barua ya uteuzi, na kwamba alitegemea angepewa barua ya utenguzi wa nafasi hiyo.

“Mimi niliteuliwa mwaka 2014, na nilipoteuliwa barua yangu ilisema kutokana na vifungu kadhaa kadhaa Rais ameniteua. Sasa kwa tafsiri yangu nilitaraji barua ya kutokana na vifungu kadhaa Rais ametengua uteuzi wangu.

Hilo halijafanyika sababu leo (jana) Jumapili, lakini kesho (leo) Jumatatu barua itakuja. Nitaisoma, tutaona jambo gani nilifanye. Option zote ziko available, hivyo nitajua la kufanya,” amesema Prof. Assad.

Aidha, Prof. Assad amesema kutokana na mazingira yaliyopo, alijua hilo suala ni lazima kutokea.

“Ukitazama mazingira, nilijua hiki kitu ni lazima, lakini nikasema riziki anatoa Mwenyezi Mungu na kwake haiishi. Ikiisha kazi hii ziko kazi chungu mzima za kufanya,” amesema Prof. Assad.

_106283262_assad.jpeg
 
UTEUZI wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), umefanyika huku, Prof. Mussa Assad akiwa hajui lolote.

Prof. Assad, aliyekuwa CAG kabla ya utenguzi uliofanywa na Rais John Magufuli jana tarehe 3 Novemba 2019, ametoa kauli hiyo wakati akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili ya
BBC.

Prof. Assad ameeleza kuwa, alipoteuliwa mwaka 2014 kuwa CAG alipewa barua ya uteuzi, na kwamba alitegemea angepewa barua ya utenguzi wa nafasi hiyo.

“Mimi niliteuliwa mwaka 2014, na nilipoteuliwa barua yangu ilisema kutokana na vifungu kadhaa kadhaa rais ameniteua. Sasa kwa tafsiri yangu nilitaraji barua ya kutokana na vifungu kadhaa rais ametengua uteuzi wangu.

Hilo halijafanyika sababu leo (jana) Jumapili, lakini kesho (leo) Jumatatu barua itakuja. Nitaisoma, tutaona jambo gani nilifanye. Option zote ziko available, hivyo nitajua la kufanya,” amesema Prof. Assad.

Aidha, Prof. Assad amesema kutokana na mazingira yaliyopo, alijua hilo suala ni lazima kutokea.

“Ukitazama mazingira, nilijua hiki kitu ni lazima, lakini nikasema riziki anatoa Mwenyezi Mungu na kwake haiishi. Ikiisha kazi hii ziko kazi chungu mzima za kufanya,” amesema Prof. Assad.
View attachment 1253767
Mtumishi yeyote unapoajiriwa lazima ufahamu na kuheshimu Mkataba wako na kwa kawaida unapaswa kumtaarifu mwajiri wako miezi 6 kabla ya kipindi chako kwisha hivyo Prof. Assad alipaswa kuomba kutayarishiwa stahili zake tangu mwezi Mei '19;
Mwajiri kama atakuhitaji uendelee ndipo utaendelea na kipindi kingine kwa maelezo mengine Prof. Assad hana busara na hafai kuwa kiongozi!
 
Una uhakika yeye hakufanya hivyo?

Ndio maana unaitwa "KIGURUWE", maana akili yako inaendana na jina.

Sisi wengi humu JamiiForums tumeshawahi kuwa watumishi wa kuajiriwa Serikalini na/au Sekta binafsi pia, na wengine tumesoma "SHERIA" ila hili la kutoa taarifa kwa muajiri miezi 6 kabla ya mkataba kuisha "TUNALISIKIA KWAKO".
 
Arudi UDSM au agombee urais kwaka kupitia chama ........kama mgombea huru angeruhusiwa TZ watu kama hawa wangepata uungwaji mkono mkubwa japo sio wanasiasa ila wanaweza kusimamia majukumu yao wanayokabidhiwa.Mimi binafsi ananiinspire sana huyu mweshimiwa
 
Ni mtumishi "PEKEE" serikalini aliekua anasimamia maslahi ya taifa na alieondolowe kwa zengwe zengwe kwenye uongozi na bado "AMEONGEA UKWELI ANAO AMINI" kua hilo swala la yeye kuondolewa "LILIKUA WAZI KABISA LITAFANYIKA KWAKE" kutokana na yanaoendelea sasa hivi nchini Tanzania.

Wengine wakitumbuliwa wana fyata mikia yao kama mbwa koko alikoswa na rungu.
 
Mtumishi yeyote unapoajiriwa lazima ufahamu na kuheshimu Mkataba wako na kwa kawaida unapaswa kumtaarifu mwajiri wako miezi 6 kabla ya kipindi chako kwisha hivyo Prof. Assad alipaswa kuomba kutayarishiwa stahili zake tangu mwezi Mei '19;
Mwajiri kama atakuhitaji uendelee ndipo utaendelea na kipindi kingine kwa maelezo mengine Prof. Assad hana busara na hafai kuwa kiongozi!
Ni kweli hafai alijua Ana contract ya miaka mitano Wala hakutakiwa hata kusema Sijui alitarajia Sijui mambo yalivyoenda huo ni uswahili sio professionalism.Legally you when you have a five year contract unatakiwa uishi na ujue una five year contract.,Full stop.

Jibu professional alilotakiwa atoe bila kuleta sokomoko za kiswahili za kijinga ni kujibu mkataba wangu ulikuwa miaka mitano umeisha full stop.

Msomi gani huyu anajibu Kama layman wa manzese? Majibu aliyotoa hayaonyeshi Kama ni ya mtu proffessional.
 
Ni mtumishi "PEKEE" serikalini aliekua anasimamia maslahi ya taifa na alieondolowe kwa zengwe zengwe kwenye uongozi na bado "AMEONGEA UKWELI ANAO AMINI" kua hilo swala la yeye kuondolewa "LILIKUA WAZI KABISA LITAFANYIKA KWAKE" kutokana na yanaoendelea sasa hivi nchini Tanzania.

Wengine wakitumbuliwa wana fyata mikia yao kama mbwa koko alikoswa na rungu.

Uko sahihi..wanaogopa hta kuongea na vyombo vya habari ynakaankimya yakisubiri muujiza mwingine wa kuteuliwa..kama yule mkuu wa mkoa wwenye baridi alivyopigwa chini kisa mkoa wake vitambulisho haviuziki ..!Go Prof Assad
 
Back
Top Bottom