Recent content by kigumbe

  1. kigumbe

    Tujuzane hali ilivyo kwenye vituo vya kuandikisha wapiga kura hapo ulipo

    Huku kwetu watu wamegoma imebidi tuandikishe watoto wa shule ingalau wennye umri miaka 17 ili ingalau zoezi ionekane limefanyika.
  2. kigumbe

    Pete kubwa kubwa wavaazo wanasiasa, wanamuziki na wafanyabiashara kwenye vidole vya mikono maana yake nini?

    Zile pete kubwa zina madini ya Uranium ambayo yanatoa miyonzi mikali kwa maadui zao.
  3. kigumbe

    Dar: Watu wafurika Uwanja wa Taifa ikidaiwa kuwa kuna shirika la Korea linatoa mikopo

    Wameitwa na watu wasiojulikana ila walipata hotuba za mafundisho ya ndoa. Mikopo itakuja baadae BASHITE akihakiki ndoa zao kila mtu na mke mmoja.
  4. kigumbe

    Kumbe Serikali inalijua deni la lililosababisha ndege ikamatwe: Lipo hadi kwenye ripoti ya CAG

    TUKAMATE WOTE WALIOTUFIKISHA HAPA KWENYE KISIWA CHA MADENI KUFUKUA MAKABURI SIO MBAYA.
  5. kigumbe

    Kuna sababu zipi za msingi zilizofanya Serikali yetu iipe uzito mkubwa sana kesi iliyofunguliwa na Tundu Lissu dhidi ya Spika Ndugai?

    LISSU ANGEKUFA SIKU ILE TUSINGETUMIA GHARAMA KUBWA KIASI HIKI KUJIHAMI NAYEYE. OLE WAO WALIOMISS TAGETI.
  6. kigumbe

    Kama kweli TISS ndio wanavujisha hizi 'audio clips', basi wanalisaidia Taifa

    Ni wale wale wa Lumumba wa kulipwa buku saba kwa siku pambafu......
  7. kigumbe

    Yaliyojiri ziara ya Mbunge Mwigulu Nchemba jimboni Iramba Magharibi

    Kitila Mkumbo yeye alishaapita siku nyingi sana. Kuna watu serikali inayokuja mtashangaa hamtawaona bungeni hasa wale wanaozania CCM waliitoa shimoni kama wanavyodai.
  8. kigumbe

    Mbinu gani itatumika kumlinda Tundu Lissu asiuawe?

    AMPOKEE YESU MAISHANI MWAKE
  9. kigumbe

    Kanuni mpya za fedha: Dr Mpango

    R.I.P MWALIMU NYERERE
  10. kigumbe

    Kanuni mpya za fedha: Dr Mpango

    R.I.P MWALIMU NYERERE
  11. kigumbe

    Magufuli ulisema elimu bure.Mwalimu hapa Mbeya mjini anatudai 5000 @ mwezi

    Pole kwa uelewa wako mdogo kama sio wivu wa kipato. Jiongeze mzee mimi huwa nachukia sana majungu. Kaeni na dhana ya elimu bure mtapata bure.
  12. kigumbe

    Kulikoni Mzee kaenda mwenyewe bila Mama Bondeni?

    Kama mkeo yupo nyumbani wewe una wasiwasi gani sasa.
Back
Top Bottom