Recent content by Kiguhu

  1. Kiguhu

    Wakuu nipo chini ya miguu yenu nipo njia panda naomba msaada wenu

    Napata wakati mgumu kukushauri coz its a rooted phone. Coz u need to check two things. Kama memory card ilikuwa na virus basi umeingiliwa na wadudu. Unachotakiwa kifanya ni kutafuta antivirus kama kaspersky scan simu. Second case kama simu imecorrupt coz of rooting utahitaji kureset.
  2. Kiguhu

    Tuition zilizoko dar za pre form 5

    Kwanza naomba nikufahamishe kidogo hakuna kitu kinachioitwa pre form five. Wewe sahizi ni mkubwa unatakiwa kujitafutia sana kuliko kulishwa. Pili advance tuition inatolewa kitopic. So swali lako lingekuwa nataka tuition ya masomo fulani napata wapi?
  3. Kiguhu

    Kupunguza foleni Dar

    Mkuu umeshawahi kutumia daladala hizo unazotushauri tutumie. Hakuna mtu hata mmoja anayetumia daladala sehemu yeyote hapa Dar atakushauri kutumia daladtala. Nina wasiwasi na wewe ni walewale unaowazungumzia
  4. Kiguhu

    watalaam wa kuhack....

    Bado hujaelewa nini. weka sawa usichoelewa. Lugha iliyotumika au kilichoongelewa?
  5. Kiguhu

    Nataka kununua domain, lakini sina account yeyote

    Nicheki kwa info@5computerstz.com ntakusaidia.
  6. Kiguhu

    watalaam wa kuhack....

    Kwa ufahamu wangu ni kweli kwa kiasi fulani na sio kweli kiasi fulani kutokana na facts zifuatazo Unaweza kujua location (Geo-Location) ya laptop kama ina GPS services au kutumia minara ya simu (Base Radio Station). Unahitaji Internet connection kwa GPS na unahitaji active call kwa minara...
  7. Kiguhu

    How to block mobile contact????

    Katika simu nyingi za samsung unatakiwa kufanya hivi kwa shortcut 1. Jifanye unampigia ili number hiyo iingie kwenye dialed calls 2. Ingia kwenye dialed calls then chagua number unayotaka kublock 3. Bofya option 4. Chagua Block this number 5. Thats all you need to do.
  8. Kiguhu

    Joomla Web Developers

    Thanks Givenality, mwanzo nami nilikuwa na wazo hilo but I thought may be kuna njia nzuri zaidi which will help especially kama visitor akiwa to any page. MtotoSix plz isiwe Google Translate coz I hate it coz I have two website (Swahili and English) Ready
  9. Kiguhu

    Joomla Web Developers

    Yes something that look like that
  10. Kiguhu

    Joomla Web Developers

    I have developed the same website using two languages (English and Swahili) but they all refer the same website. What I need is when the visitors visits they should first select language then be directed to the specific web language NB: I don't want to use Google Translate. Any help on how to do...
  11. Kiguhu

    msaada joomla

    Pole sana kwa kuchelewa kukujibu....... Go to the Global Configuration area within your Joomla admin. Under SEO Settings, click YES for the following two items: Search Engine Friendly URLs Use Apache mod_rewrite Now, go to your htaccess.txt file at the root of your site and rename the file...
  12. Kiguhu

    Joomla Website Developers....

    Thanks Jamani for your help mchango wenu ni mkubwa sana nimefanikiwa tatizo 1. Nimefuta administrator folder in my file manager 2. nimeinstall new joomla fresh installation of the same version 3. nimeapload file la administrator 4. Login ikakubali.
  13. Kiguhu

    Joomla Website Developers....

    Thank you for your help I appreciate it but I Think you don't understand my qn. try this USCF Mlimani - Administration. I think you will understand.
  14. Kiguhu

    Joomla Website Developers....

    My Error Log file. [23-Mar-2012 09:14:27] PHP Warning: Invalid argument supplied for foreach() in /home/ema/public_html/administrator/components/com_xformsdisplayrecords/models/form.php on line 570 [23-Mar-2012 09:15:02] PHP Warning: Invalid argument supplied for foreach() in...
Back
Top Bottom