vp cm maana hapo kwny kutuma hela kwa cm itakuwa balaa na wanaoathirika zaidi wale wanotuma elfu kumi au kumi na tano wa laki saba milion moja wala hawaumii si wanazo hata akikatwa elfu tano haoni uchungu.
haya acha tukubali CHADEMA walilipua bomu kama mnavyotaka, je polisi walioukuwa wanapga risasi za moto nao ni CHADEMA? maana minong'ono inasema mlipuaji alikimbia na gari ya polisi, je CHADEMA wanamiliki dola? uctumike kama CONDOM kisha wakakutupa kama maganda ya muwa baada ya kufyonzwa.
kwani police si walikuwepo uwanjani? hawakuona yaliyotokea? wanataka ushahidi wao kama nani? ushahi si hpelekwa mahakamani? kama ishu ni ushahidi kwa nn polisi wautake wa mbowe
Unaweza shnda hata goli mia lakini wakati huo mpinzani anahtaji goli moja tu kubeba kombe.
KATA = 22
CCM = 16
CDM = 06
KABLA YA UCHAGUZI
CCM = 20
CDM = 02
kama kweli una akili timamu kwa ufafanuz huo nani kapewa kipigo cha mbwa mwizi.
cna chama chochote ila najickia vibaya kuona vijana mkipenda vyama vya siasa kwa ushabiki ama kwa kudanganywa tu. mnawadanganya hata wazazi wenu kuwa maisha bora yatakuja tu wakati wanaendelea kupgika. VIJANA NI TAIFA LA LEO.
ifikie wakati vyama vyote vya siasa vijue kuwa kuna sehemu vinakubalika sana na kuna sehemu havipendwi hata robo. CHADEMA leo hakiwezi kutamba mikoa ya kusini au ZANZIBAR. CCM ikubali ama itake ama isitake ARUSHA hakipendwi. wasilazimishe mapenzi washapewa talaka mbona CHADEMA waelewa sana...
kumbuka kamanda mawazo ni mzee wa poli kwa poli, kijiji kwa kijiji msitu kwa msitu haonekani mjini na kama akionekana basi ataacha gumzo kubwa sana. kwa hiyo arusha wasubiri watamuona tu yupo polini kidooogo. big up kamanda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.