Omba mwaka huu lakini usiombe MD, kuna kozi nyingi za Engineering and Business related ambazo watu wengi wanazichukulia poa ila zina fursa nzuri sana na ziko marketable. Mimi nilikua kama wewe ila kutokana na hali ya uchumi home nikasoma Business related course nakuhakikishia ni moja ya mawazo...
Kasome kati ya hizi kozi.
1. Community development.
2. Law.
3. Psychology.
4. Social work.
5. Sociology.
Kama una ufaulu mzuri wa hesabu omba pia kozi za Ardhi kama Land management and valuation.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.