Recent content by kigogo wa namatu

  1. kigogo wa namatu

    JamiiForums Tanzania Katiba ya CHADEMA inasemaje kuhusu mtu kujiunga na kugombea uongozi?

    ndio kwanza nasikia leo. hivi ni kwelii?
  2. kigogo wa namatu

    JamiiForums Tanzania Future ya CCM baada ya Lowassa kung'oka

    hiyo point mkuu
  3. kigogo wa namatu

    JamiiForums Tanzania Maana halisi ya Lowassa kuitosa CCM na madhara yake

    kweli kigogo
  4. kigogo wa namatu

    JamiiForums Tanzania Zitto na ACT ndio wapinzani wa kweli waliobakia, tunawategemea msituangushe, UKAWA wamenunuliwa

    sina imani dhabiti na zitto mi naona lowasa angeenda ACT ukawa na ccm wange wafanya ngazi. lowasa kaingia ukawa kumwita zitto na zitto atakuja tuuu na akija ccm wanashinda kwa jeuri kubwa alafu upinzani watapoteana mazimaaaa
  5. kigogo wa namatu

    JamiiForums Tanzania Zitto na ACT ndio wapinzani wa kweli waliobakia, tunawategemea msituangushe, UKAWA wamenunuliwa

    Tatizo watu wengi ni washabiki bila kujua ukweli wenyewe. CCM wanajua yooote aliyo yafanya luwasa na udhaifu wake wanaujua wanajua wapi kwa kumkamatia. utaona matokeo mda si mrefu.
  6. kigogo wa namatu

    JamiiForums Tanzania Zitto na ACT ndio wapinzani wa kweli waliobakia, tunawategemea msituangushe, UKAWA wamenunuliwa

    hii kauli yako utakuja kuikataa chadema washapoteana ccm wanampiga ukawa chenga ya mauzi kwasababu wanachakusema ukawa watasema nn
  7. kigogo wa namatu

    JamiiForums Tanzania Kama Tatizo ni Mfumo, Kulikuwa na Haja Gani ya Kutaja Orodha ya Mafisadi?

    CCM hawaja poteza chadema ndio walio poteza na hawanatena cha kuongea kwa sababu tatizo ni mfumo
  8. kigogo wa namatu

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    aya wafe tuone au wale malimao basi. chama hakipasuki na kitaendelea na taratibuzake
  9. kigogo wa namatu

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    ukawa wakija na maamuzi mazuri watachukua hatam ya uongozi kilaini
  10. kigogo wa namatu

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ukweli mtupu

    kama hujaelewa jua umeelewa zaidi
  11. kigogo wa namatu

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kutogombea tena ubunge?

    uongo.
  12. kigogo wa namatu

    JamiiForums Tanzania Kama madereva wameweza, walimu kinachowashinda ni nini?

    mwalim akigoma madhara hayatokei papokwapapo
Back
Top Bottom