Recent content by Kigodoro

  1. K

    JamiiForums Tanzania Exclusive: Ahadi hewa zilzotolewa kwa vigogo na wanachama wa chadema kabla ya kujiunga chaumma

    ZIFUATAZO NI AHADI ZILIZOTOLEWA . 1. Kuna majimbo 50 na kata 1000 tumeahidiwa na ccm kwa tutapita bila shida yoyote. 2. Kila mgombea ubunge na udiwani atawezeshwa kifedha ktk kampeni. 3. Mbowe atahamia chaumma ili kuleta hamasa kubwa ndani ya chama hivyo kampeni kuwa rahisi. 4. Maelfu kwa maelfu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Muhtasari wa mkutano wa Humphrey Polepole

    Samia ni mhuni.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni muongozo. HGL division II ya point 10, ni kozi ipi yenye future ya kujiajiri ama kuajiriwa?

    Na kama nitapatiwa na jina la chuo inapopatikana hiyo kozi, itapendeza zaidi. Natanguliza shukurani.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Masanja Mkandamizaji: Watu ooh! Mama anasafiri sana. Ulitaka asafiri babaako?

    Too much of everything is harmful. Watanzania wanataka rais anayefanya safari za nje kwa kiasi
  5. K

    JamiiForums Tanzania Masanja Mkandamizaji: Watu ooh! Mama anasafiri sana. Ulitaka asafiri babaako?

    Kauli ya kijinga kabisa hii. Kagame hapendagi Sana ujinga kama huu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Masanja Mkandamizaji: Watu ooh! Mama anasafiri sana. Ulitaka asafiri babaako?

    How? Nimeona mpk wenye nchi wamecheka. Maana yake wamefurahia hiki kijembe kwa wazalendo.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Masanja Mkandamizaji: Watu ooh! Mama anasafiri sana. Ulitaka asafiri babaako?

    Tena hana adabu kweli kweli!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Masanja Mkandamizaji: Watu ooh! Mama anasafiri sana. Ulitaka asafiri babaako?

    Kauli hii ya kifedhuli ameitoa Masanja Mkandamizaji alipopewa nafasi ya kuburudisha leo hii mbele ya mamilioni ya Watanzania na wana-Afirika Mashariki kwa ujumla, waliokuwa wanafuatilia sherehe za Uhuru wa Tanganyika kupitia runinga. Kauli hii inawabeza Watanzania wenye moyo wa kuipenda nchi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mama J, shabiki wa Yanga

    Nataka kujua tu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mama J, shabiki wa Yanga

    Naomba kuuliza wanaJF. Mimi sifahamu kibamia inakuwa na size gani. Sasa kwa kuwa ya baba J imeonekana hadharani. Je, ile ni kibamia ama mkulungwa?????
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tembea na hisia zako

    Ukiuzuia moyo kumpenda mtu utakuwa unaenda kinyume na hisia zako. Heshimu hisia zako.
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu wa ukubwani kafariki kisa ndoa

    Wapo wa part time kibao. Atakuwa anachakata na kusepa
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu wa ukubwani kafariki kisa ndoa

    Toa hint mkuu. Kuna kundi kubwa la wanaume wanaangamia.
Back
Top Bottom