Mbona mgawo wa umeme ndiyo umepamba moto sana, hasa maeneo ya buzuruga mecco kila siku hakuna umeme.kweli haya ni mateso kwa watu.tuikatae ccm hii inatuumiza
Mbona watu tunateseka na umeme hiyo serikali anayoiwakilisha mbona hatuoni inachukuwa jitihada zozote za kutatuwa tatizo la umeme?wakati mvua imebyesha kila kona ya nchi imejaa maji?wananchi amkeni tudai haki kwa nguvu ya umma.sisi ndo tunapata shida hawo wasemaje wa serikali wanastarehe tu
Serikali yetu haiwezi ikawa na uchungu na watu wake, kwasababu wao hawaoni shida ya umeme wao wana majenereta yanafanya kazi muda wote na mafuta ya kuziendesha jenereta ni ya umma siyo ya kununua pesa zao.Tunataka tuwe na tume huru ya kuchaguwa viongozi,tunawo wataka tukipata shida kama hii ya...
Ni kweli kabisa watawala wameziba masikio hawasikii na kuona shida ya wananchi.Maandamano yanaweza kuwafumbuwa macho.viongozi uzalendo kwa laia wanaoongozwa umekwisha.ina bidi tuamke
Ni aibu kubwa kwa Taifa kama Tanzania sukari kuwadimika hadi kufikia kilo Tsh6,000.wakati jirani zetu kilo moja ya sukari inauzwa bei ndog o sana chini ya dollar1.
Hii ni aibu kubwa kwa nchi kama Tanzania kukosa umeme, yenye vyanzo vingi vyakuzalisha umeme wananchi inabidi tujaribu kubadirisha viongozi,wanaongoza wameshindwa
Kwa swala la umeme ni kweli kwamba Serikali hii ya sasa haina huruma na wananchi wake.
Awamu ya 5 hatukuona shida ya kukatika kwa umeme lakini sasa tangu serikali ya awamu ya 6 iingie madarakani tumekuwa na shida sana ya umeme. Tuliwahi kuwambiwa kuwa gesi inayotokea Mtwara ikikamilika...
Mbona Lisu huwa anasema ukweli bila kudanganya watu?kwani hatuoni umeme unavyotusumbua wananchi!na pesa zinatumika vibaya na wenye mamlaka?nahilo ni lauongo?sisi wananchi tunayaamini ya Lisu.
?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.