Dharau na majivuno, kejeni na majigambo, ubinafsi na choyo chenu ndo unawafanya wazanzibari kudai zanzibar yao. Dharau imezidi mno, hakuna majibu kwa maswali magumu yanayoulizwa na wazanzibar bali manachojua ninyi ki dharau na kejeli tu. Yaani mzanzibari hata kama ni msomi wa daraja gani kwenu...