Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,475
- 39,987
CCM ni chama. Serikali si ya CCM. Ni ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.
CCM kama chama kinahusikaje na katiba ya Zanzibar?
Sorry kilikuwa hakihusiki kwa sababu Wawakilishi waliopiga kura kupitisha mabadiliko yale haramu ya katiba ya Zanzibar walifanya wakitekeleza maagizo na sera za serikali kwani wao ni watumishi wa serikali.