Recent content by kifumbiko

  1. kifumbiko

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba/Mume

    Find me though 0738041717
  2. kifumbiko

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mume aliye serious anayetaka mke. Nina miaka 36

    Just text me through 073804171
  3. kifumbiko

    JamiiForums Tanzania Naweza kusoma diploma ya medical laboratory katika chuo cha serikali?

    Huwezi badilisha zaidi ya kus diploma ya maabara
  4. kifumbiko

    JamiiForums Tanzania Naweza kusoma diploma ya medical laboratory katika chuo cha serikali?

    medical lab bado ni nzuri soma ucjali utapata tuu chuo
  5. kifumbiko

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Naona Changamoto na mtihani mgumu sana mbele yako

    kila mtu ana uhuru wa kuongea so ni mwisho wa upeo wake wa kufikiri hapoooooo!
  6. kifumbiko

    JamiiForums Tanzania Wabunge wataka Milioni 130 badala ya 90 kama mkopo wa gari

    kwani toyota mark two haifiki bungeni? ndo mjue aina ya watu mnaowachagua wako kwa maslai ya taifa au familia zao,milion tisini inatosha na napendekeza ipunguzwe iwe milion60,hiki ni kipindi cha kazi tuu na sio matumizi yasio ya lazima.
  7. kifumbiko

    JamiiForums Tanzania Matokeo mabaya Vyuo vya Udaktari, haijapata kutokea!

    suala usilolijua ni sawa na usiku wa giza,afya sio siasa kijana,acha kabisa,we nani uanze kusema afya za watanzania mashakani futa kauli mara moja.
  8. kifumbiko

    JamiiForums Tanzania Hizi ni dalili za nini?

    mpaka uonane na daktari umsimulie ndipo ajue ni tatizo gani
  9. kifumbiko

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwanangu kapima vipimo vyote hana tatizo lakini bado anaumwa

    pcm syrup sio nzuri kwasababu half life yake ni ndogo ukilinganisha na tabs ulilazwa hopitali gani? kwa maelezo zaidi nitafute kwa number 0718115013
  10. kifumbiko

    JamiiForums Tanzania Ana dalili zote za ujauzito lakini vipimo havionyeshi

    hiyo condition tunaiita pseudopregnant ,na kupima mwapima ktk mazingira gani?ugonjwa wako ni siri kati ya dr nawewe maelezo inatakiwa utumie pm kama unaamini unaongea na daktari, usiexpose tatizo lako namna hiyo.
  11. kifumbiko

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu selection za vyuo vya afya

    mvumi sawa hicho kingine cjawah kukisikia.
  12. kifumbiko

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    vijana acheni ushabiki msikilizeni mtu anaongea nini ndipo mtafakari mlio wengi mmekalia kahongwa namchafua lowassa,mnamfahamu lowassa? au ndo ushabiki? ukitaka kuwa mshabiki wa mtu lazima umjue mpaka ndani. na sio ooh msafi amekuwa msafi baada ya kuwa cdm? msiwe wavivu wa kufikilia na kufanya...
  13. kifumbiko

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    kazi ipo hata raia wa libya ilikuwa hv hv alafu wanajuta mpaka leo.acheni ushabiki wa vyama vijana.
Back
Top Bottom