Matokeo mabaya Vyuo vya Udaktari, haijapata kutokea!

Matokeo mabaya Vyuo vya Udaktari, haijapata kutokea!

tmbsa

Member
Joined
Aug 19, 2015
Posts
46
Reaction score
13
Siku ya ijumaa tarehe 20 novemba 2015 baadhi ya vyuo vilipokea matokeo kwa masikitiko makubwa sana kwa sababu zaid ya asilimia sabini ya wahitimu wa udaktari na kada nyingine za afya walifeli mtihani uliofanyika mwezi tisa mwaka huu.

Hali hii imeibua maswali mwengi kuwa je, kunahujuma au kweli vyuo vilivyosajiliwa na NACTE wizara ya afya havina viwango vya kutoa elimu hiyo?

Kama ndivyo basi huku nikuhatarisha maisha ya watanzani kwa sababu watu hao wanategemewa kuhusika na matibabu katika hospitali zetu nchini..
 
Acha wivu endelea kusomea social science mambo ya utabibu hayakuhusu
 
weka source ya hiyo taarifa.au umesikia kwenye kijiwe cha kahawa??
 
suala usilolijua ni sawa na usiku wa giza,afya sio siasa kijana,acha kabisa,we nani uanze kusema afya za watanzania mashakani futa kauli mara moja.
 
Back
Top Bottom