Recent content by kifu

  1. K

    Placenta Previa ni nini jamani?

    Asanteni wakuu nimepata mwanga kidogo
  2. K

    Placenta Previa ni nini jamani?

    Nashukuru kwa maelezo yako vipi haiwezi kuathiri ukuaji wa mtoto tumboni?
  3. K

    Placenta Previa ni nini jamani?

    Jamani madaktari naomba kueleweshwa madhara ya hili tatizo kwa mjamzito.je anaweza kujifungua salama na mtoto akawa na afya
  4. K

    Natafuta chuo chenye foundation course ya nursing

    Chuo kiwe mkoa wowote kwa anayefahamu naomba anijuze
  5. K

    Anatafuta nafasi ya kazi Arusha

    Naku pm tuongee vizur
  6. K

    Anatafuta nafasi ya kazi Arusha

    Msichana mwenye elimu ya kidato cha nne anatafuta Kazi yoyote iliyo ya halali, ikiwa mkoa wa Arusha itakuwa vizur zaidi. NB: Sichagui kazi ilimradi iwe ya halali
  7. K

    sofa zinauzwa 70,000

    Zipo maeneo ya mianzini
  8. K

    sofa zinauzwa 70,000

    Zipo Arusha mjini moja ya watu wa 2 nyingine ya mtu mmoja 0768600941 kwa mawasiliano NB:zipo vizuri
  9. K

    Msaada nafasi ya kufanya field Arusha

    Typing error mkuu ni wa nne
  10. K

    Msaada nafasi ya kufanya field Arusha

    Ndugu zangu Mimi ni kijana ninaesomea human resource management diploma, nilikuwa naomba msaada kwa MTU mwenye kuweza kunisaidia iwe ofisi ya serikali au ofisi binafsi. Field ni ya mwezi mmoja kuanzia mwezi wa NNE (4)
Back
Top Bottom