Msaada nafasi ya kufanya field Arusha

kifu

Member
Mar 20, 2016
11
0
Ndugu zangu Mimi ni kijana ninaesomea human resource management diploma, nilikuwa naomba msaada kwa MTU mwenye kuweza kunisaidia iwe ofisi ya serikali au ofisi binafsi. Field ni ya mwezi mmoja kuanzia mwezi wa NNE (4)
 
Back
Top Bottom