Nashukuru kwa maelezo yako vipi haiwezi kuathiri ukuaji wa mtoto tumboni?Hili huwa ni tatizo ambapo placenta inashindwa kushift kwenda juu hivyo inakuwa chini karibu kabisa na cervix yaan shingo ya uzazi...tatizo hili inasemekana sababu dhahiri bado haijulikani lakini inafikiriwa kuwa ni kutokana na kutokuwa na usawa wa mzunguko wa damu katika ukuta wa ndani wa placenta (unequal vascularization in endometrium) ambapo sehemu hij ya chini inakosa virutubisho sawa na sehemu nyingne na hvyo kuipelekea kushindwa kukua vizuri.
Kuna vitu vingi ambavyo vinaweza kupelekea mjamzito akapatwa na hali hii
1.uvutaji wa sigara au matumizi ya dawa za kulevya kipindi cha ujauzito
2.unywaji pombe kwenye ujauzto
3.kama mama aliwahi kujifungua mapacha..hvyo huwa anakua na placenta kubwa
4.pia kama aliwahi kuzaa kwa operation na mengine mengi yanajulikana kuwa ni risk facrors
Mama mjamzto mwenye tatizo hili anaweza kujifungua salama kabisa
Ila inatakiwa kucheck regularly hosputali ili kujua njia sahihi ya uzazi
Dalili kuu ni kutokwa na damu katika uke ,damu ambayo ni nyepesi na pia huwa hakuna maumivu..na hii kutokea sana kati ya wiki ya 24-32 za ujauzito.