Recent content by KIFPA

  1. KIFPA

    Sherehe za miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara(Tanganyika): Babu Seya na Wafungwa wengine 8,157 Wasamehewa

    Nipo karibu na gereza la Ukonga naenda gettini kuwapokea Kina Nguza
  2. KIFPA

    Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa wilaya ya Chato mkoani Geita

    Kwani picha si imefikisha ujumbe kamili sasa unataka maelezo ya nn? ww umesikia wapi/lini bunge lilikaa likapitisha bajeti hiyo? Hebu muwe waelewa
  3. KIFPA

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Kirengeza cha kuongea huko atakipata wapi?Kwanza hata atakisikia? PhD EVIDENCE SIO MCHEZO labda ya kiswahili
  4. KIFPA

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Mbona anapovunja huwa mnakaa kimya?
  5. KIFPA

    Je, huu ni ufuatiliaji wa uwajibikaji au udhalilishaji kwa bullying na intimidation?

    WW mbwiga ndio maana huwa kuna vikao vya ndani hapo hadharani mnaulizana maswali ili iweje, kama ni sawa na sisi tuna maswali mengi tu yakumuuliza yeye hadharani kulingana na wadhifa wake aruhusu aone kama hataaibika, Muwe mnafikiria angekuwa mama yako yule ww sasa hivi ungekuwa na hali gani...
  6. KIFPA

    He say "Too early to request money" while insisting me to give him dyudyu at early stage

    Papuchi unaweza ukawa na hamu nayo kwa jinsi mtu ulivyompenda na ukahitaji hata siku hiyohiyo haina kikwazo maana viungo vyote vipo, Money si mpaka mtu aitafute, na kama hana ndio umnyime papuchi wakati unayo hiyo ni roho mbaya na kutokumjali mwenzio, MPE PAPUCHI ATAKUPA HELA AKIPATA MHURUMIE
  7. KIFPA

    Bistandsaktuelt: Rais Magufuli anaipeleka nchi katika muelekeo wa kidikteta

    Hilo konzi la chuma lianze kukupata ww utusimulie utamu wake hahahaha utakojoa damu si unalopoka tu
  8. KIFPA

    Siku Rais Magufuli anastaafu urais, itakuwa sherehe kubwa kwa Mafisadi

    Kaka mm ni mtumish wa uma na sitasahau maumivu niyapatayo kwa ghafla kupandishiwa makato ya loan board kama mkimbizi kumbe nipo na ninamtumikia, Nilikuwa na hesabu zangu za mkopo wa miaka 6 nibaki na vijisent tu yaani anachonifanyia sijui ntampa zawadi gani
  9. KIFPA

    Siku Rais Magufuli anastaafu urais, itakuwa sherehe kubwa kwa Mafisadi

    Nilivyosoma mwanzoni niliona kama mtu anaejielewa, ila umevuruga mwishoni nahisi ulikomea form 2, Yaan kwa akili yako kabisa ya kujua kusoma na kuandika ulishasoma sehemu kuwa wakwepa kodi ni Chadema? Uamehewe bure na tunashukuru umepost uende ukapeweposho sasa
  10. KIFPA

    Zitto Kabwe: Takwimu za Pato la Taifa kwa robo iliyoishia Juni 2017 si sahihi, ZIMEPIKWA! (PDF attached)

    Leta data zako acha poroje basi uelewa na usomi tunatumia hoja, hivi ww hujiulizi kwann jamaa anapinga wakati hadi kuna sheria yenu ya kuwaminya watakaowakosoa tena licha ya hiyo anatumia data zenu. Ukitaka kuelewa utajitune kuelewa
  11. KIFPA

    Wanaogiza Magari Japan, Kuweni Makini na Hii Kodi

    Nimeshindwa kukusaidia zipo model 6 sijui hiyo ni model gani.
  12. KIFPA

    Wanaogiza Magari Japan, Kuweni Makini na Hii Kodi

    Pole kwa kuchelewa tumia link hii Used Motor Vehicle Valuation System - Used Motor Vehicle Valuation System na ingiza detai za gari yako utaona kodi itatakayotakiwa kwa Custom value (CIF) INAYOKADIRIWA IKIZIDI TU UNALIPA ZAIDI
  13. KIFPA

    Wanaogiza Magari Japan, Kuweni Makini na Hii Kodi

    Hapa hatuzungumzii uchama hapa hebu tupishe umekosea njia ndg sio kila kitu siasa tu jitambue sometimes
Back
Top Bottom