Recent content by kifinyo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Wakuu mtupe info basii za majuu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Limebaki boom moja sina hata business idea

    Dah haya maisha niliyaogopa toka nipo kidato cha sita,mpaka namaliza mwaka wa kwanza nilkua na akiba ya 1 million, brother nilikula mihogo kuvaa mipauko kwa sana hata demu sikua nae Nilinunua pikipiki used na kuifanya kama bolt oaa since then boom kwangu ni kama kilinda mfuko tuu Mungu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Fursa Trainee Zanzibar

    Mkuu unatafuta kutapeliwa ingia website yao tafuta email, tengeneza wasifu wako wakibabe(mzuri competition ni kubwa) watumie ikiwezekana omba na appointment alafu MLINZI kazi yake ni usalama sio lazima umuelezee kinachokupeleka wee mwambie nimekuja ninashida binafsi na uongozi, sometimes mavazi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji dada wa usafi wa nyumbani

    Fanya uoe mkuu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tv stand set used inauzwa

    Daah ndugu sio UTU ndo umenikazia kwa laki saba
  6. K

    JamiiForums Tanzania Devil worshippers wanapitia magumu sana huenda P Didy ni mmoja wapo, na huwa wana mwisho mbaya sana

    Daah kila nikikumbuka pididi was my childhoods' nickname inaniuma sana
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ukristo ni kutukuza utamaduni wa watu weupe, tujitafakari sana

    Sijasoma jarada lako lote ilaa ukristo ulikuwepo hata kabla ya ukoloni na kanisa la kwanza kabisa DUNIANI lilikua Ethiopia nenda kasome uelewe afu njoo tena...kusema dini ya wazungu hapana ila ukusema dini ya utapeli ni kwa sababu watumishi wengi wanatanguliza fedha kuliko neno la MUNGU
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kuongeza confidence na kujiamini

    Nauza confidence mikoani tunatuma karibu Dm
Back
Top Bottom